Simba Bado inacheza mpira mbovu

Simba Bado inacheza mpira mbovu

Kwa Simba hii, Tff kubalini ata kwa kupindisha kanuni ili mjiondoe kwenye Lawama wapate nafasi ya kucheza New Aman stadium.
Baada ya mechi Tano watarudi Tena na kuwaomba Tff mechi zao zi ahmishiwe Comoro[emoji1][emoji1][emoji1]
Wako slow sana..
 
Kitu kinachowatesa Utopolo, Simba bado Wapo gado...

Walitegemea uto Wakiwa juu ,Simba iwe imetepeta kama Wao enzi za Papaa Zahera..! Lkn wapiiii , Mnyama bado ni Bora, Bora Bora sana Kiasi Cha kuwa 7 bora Afrika.. hiki kinawaumiza Sana... Imebaki propaganda za mpira mbovu..!

Uto Vumilieni tu, ndio Soka lilivyo..
Mkuu tuwe serious mechi ipi kipindi cha Kocha Papaa Zahera Yanga alipigwa goli 5? Tukubali waliosajili wachezaji hao wapya wanacheza na akili za mashabiki maana hata Waziri Junio Chentemba ana afadhali kuliko wachezaji hao.
 
Kwa uongozi wa Try again mtapigwq sana hapo
 
Mbona mnakua kama mashabiki maandazi? Yani mchezaji kacheza mechi moja bado kuna ugeni wa mchezo na mambo kibao mnaanza kulaumu?
 
Bado hakuna muunganiko wa kiufundi ktk ushambuliaji, utaona Micquson, SAIDO,, etc kwenye 18 za mpinzani wanajigikia tu hakuna ufundi..

Bado naiulkumbuka SIMBA ya Larry Bwalya, Micquison, CHAMA, ...Na wenzake chini ya PABLO
 
Kitu kinachowatesa Utopolo, Simba bado Wapo gado...

Walitegemea uto Wakiwa juu ,Simba iwe imetepeta kama Wao enzi za Papaa Zahera..! Lkn wapiiii , Mnyama bado ni Bora, Bora Bora sana Kiasi Cha kuwa 7 bora Afrika.. hiki kinawaumiza Sana... Imebaki propaganda za mpira mbovu..!

Uto Vumilieni tu, ndio Soka lilivyo..
Yanga tulivyoyumba tulikuwa nafasi ya pili always.Ninyi mlipoyumba mlishika nafasi ya 4.hata Sasa msimu huu ntakuwa. Nafasi ya 3 nyuma ya Yanga na Azam
 
Back
Top Bottom