Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Maneno haya siyo mageni sana.Hizi kauli zinawekewa mkazo sasa hivi kuelekea derby ili kuanza kuwalainisha mashabiki waamini huu utoto kwa hiyo hata mkifungwa iaminike mnajenga timu kweli na hata mkishinda mtani asemwe amefungwa na timu ambayo haijakamilika.
Sisi hatujali tunabaruza yoyote maana hatuna wa kucheka naye
Kumbe unaifuatilia?? Nilijua umeacha kabisa ila kwa povu hili ww ni mfuasi tena kindakindaki wa mnyama sports club...Wamejitahidi kutengeneza Timu nzuri Lakini Bado sana kwenye Mashindano Makubwa.
Simba inakosa
1. Beki wa kati Mmoja (5)
Beki kiongozi.
2. Bado kuna shida kwenye kiungo cha Ukabaji pamoja na kuwa kagoma anafanya vizuri sana.
3 Eneo la No 10 hapa Hapajifichi kabisa. Nilimshangaa sana Fadru kilushindwa Kusajili no 10
The rest sioni wachezaji wafuatao wakibaki simba Dirisha kubwa
A. Aishi Manura.
B. Karaboe Chamoe.
C. Agustine Okejepha.
D. Joshua Mutale.
E. Dese mukwala
Hawa Wachezaji wamekuwa Mizigo ndani ya Timu ni wayltumishi Hewa.
Waongeze wachezajinwa 5 wa maana Hata Daraja B Africa.
Safi sana wakwetuKumbe unaifuatilia?? Nilijua umeacha kabisa ila kwa povu hili ww ni mfuasi tena kindakindaki wa mnyama sports club...
Acha kujitesa ingia uwanjani ucheze ....
Huyo ni sitaki nataka....Safi sana wakwetu
Kumbe😁😁 basi amekwishaaHuyo ni sitaki nataka....
Ndiyo nashangaa...Kwa nini Uto wang'ang'anie kwamba sio kweli. Nyie si mna timu lenu?
🤣🤣Ila ndiyo ukweli huo🥴Maneno haya siyo mageni sana.
Ukweli upi bibie?🤣🤣Ila ndiyo ukweli huo🥴
Simba bado inajijenga kwa sasaUkweli upi bibie?
Yeah ndivyo ilivyoSimba bado inajijenga kwa sasa
Ila siyo maneno mageni kuyasikia hapa mjini?Yeah ndivyo ilivyo
Mno yani, nakazia.Ila siyo maneno mageni kuyasikia hapa mjini?
Hamna timu ya kujenga nyie. Hapa bongo hakuna anayejenga timu kwa sababu wote wapo kibiashara. Acheni kujidanganya nyie. Tutapiga tuNdiyo nashangaa...
Wenye timu tunasema tunajenga timu, utopolo kina Southern Highland na topoloz bobevu kama kina Labani og , Makavuli na Tate Mkuu watabisha😳
Sawa... Lakini sisi bado tunajenga timu.Hamna timu ya kujenga nyie. Hapa bongo hakuna anayejenga timu kwa sababu wote wapo kibiashara. Acheni kujidanganya nyie. Tutapiga tu