Simba bado inajenga timu

Simba bado inajenga timu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu.

Kwanza wachezaji waongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho ili yale magoli wanayokosa kwenye Kila mechi wafunge.

Naamini mpaka msimu ujao ujenzi wa timu ya Simba utakuwa umefikia 70%. Maana Kwa Sasa Fadlu kasema ndiyo kwanza wapo 58%.
 
Hizi kauli zinawekewa mkazo sasa hivi kuelekea derby ili kuanza kuwalainisha mashabiki waamini huu utoto kwa hiyo hata mkifungwa iaminike mnajenga timu kweli na hata mkishinda mtani asemwe amefungwa na timu ambayo haijakamilika.

Sisi hatujali tunabaruza yoyote maana hatuna wa kucheka naye
 
Wamejitahidi kutengeneza Timu nzuri Lakini Bado sana kwenye Mashindano Makubwa.

Simba inakosa
1. Beki wa kati Mmoja (5)
Beki kiongozi.

2. Bado kuna shida kwenye kiungo cha Ukabaji pamoja na kuwa kagoma anafanya vizuri sana.

3 Eneo la No 10 hapa Hapajifichi kabisa. Nilimshangaa sana Fadru kilushindwa Kusajili no 10

The rest sioni wachezaji wafuatao wakibaki simba Dirisha kubwa
A. Aishi Manura.
B. Karaboe Chamoe.
C. Agustine Okejepha.
D. Joshua Mutale.
E. Dese mukwala
Hawa Wachezaji wamekuwa Mizigo ndani ya Timu ni wayltumishi Hewa.

Waongeze wachezajinwa 5 wa maana Hata Daraja B Africa.
 
Maneno haya siyo mageni sana.
 
Kumbe unaifuatilia?? Nilijua umeacha kabisa ila kwa povu hili ww ni mfuasi tena kindakindaki wa mnyama sports club...
Acha kujitesa ingia uwanjani ucheze ....
 
Back
Top Bottom