Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu.
Kwanza wachezaji waongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho ili yale magoli wanayokosa kwenye Kila mechi wafunge.
Naamini mpaka msimu ujao ujenzi wa timu ya Simba utakuwa umefikia 70%. Maana Kwa Sasa Fadlu kasema ndiyo kwanza wapo 58%.