Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Wewe huwa hauli kuku?
 
Nature.... hayo ndio maisha halisi ya Simba, mwanaume ukikua unafukuzwa kwenye ukoo, na ili kuanza familia na kupata eneo lako unaenda kuvamia ukoo mwingine, unapigana na ukiweza kuwakimbiza au kuua wanaume wote unachukua majike, kama yana watoto unaua wote then unaanzisha ukoo wako, na simba wengine vijana waliofukuzwa watakuwa wanakuvamia kila wakati ili kuchukua majike yako na eneo lako, ukishindwa ndio umepoteza familia nzima na watoto wako wote wanauliwa na majike kuplewa na ndume iliyoshinda, wana maisha magumu sana na ukiwa soft kama wanaume wa JF umekwisha
 
Bora Simba huyu kuliko yule wa msimbazi
 
Relax,hata hapa mjini mademu pisi wanaliwa na uzuri wao and nobody gives a damn
 
Wana nafsi, hawana roho, roho ndo inaishi milele, anayeenda Motono/mbinguni anajua wrong anf right
Mbwa, paka hawajui wrong and right? Fuga halafu uwachunguze tabia zao utagundua.

Halafu kwa hadithi za biblia ufahamu wa mema na mabaya ulikuja baada ya kula tunda, sasa kwa ulichosema inamaana Kabla ya kula tunda binadamu alikuwa kama mnyama sababu hakujua wrong and right? Kuna kitu hakiko sawa.
 
Wanawake mna huruma sana
 
Wanashida sana, kula papuchi mpaka waipiganie. Kwa mwendo huo nadhani kuna simba ambao wanazaliwa hadi wanakufa bila kuonja papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…