Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Mbwa, paka hawajui wrong and right? Fuga halafu uwachunguze tabia zao utagundua.

Halafu kwa hadithi za biblia ufahamu wa mema na mabaya ulikuja baada ya kula tunda, sasa kwa ulichosema inamaana Kabla ya kula tunda binadamu alikuwa kama mnyama sababu hakujua wrong and right? Kuna kitu hakiko sawa.

Kila la heri, nafikiri nimekosea kuandika few lines, huu ni mjadala mrefu. Upo sahihi, ukisema kuna kitu hakipo sawa ina maama una hoji uhalali wa Biblia au?
 
Kila la heri, nafikiri nimekosea kuandika few lines, huu ni mjadala mrefu. Upo sahihi, ukisema kuna kitu hakipo sawa ina maama una hoji uhalali wa Biblia au?
Nahoji uhalali wa tafsiri na uhalisia wa tafsiri na iwapo kinachotafsiriwa ndicho halisi. Kama ulivyosema ni mada pana, na umeshakiri kufikiri kukosea. Tuachane nayo, hapa sio sehemu yake.
 
Mara mwisho hyu jamaa niliwahi kumuona kitambaa cheupe pale tabata...ni mtu poa sana sema alipenda totoz ...r.i.p.bob juniur...huzin kwa tasnia nzima kwa kwl..😥
Mkuu,

Upo nje ya mada,anayezungumziwa hapa ni Simba wa huko Serengeti ambaye anaitwa Bob. Siyo huyo Bob junior wa bongo flava.

Naona umesoma tittle ukajiongeza,hukutaka kusoma maelezo ya ndani. Ndiyo maana wabongo tunapigwa kwenye mikataba.
 
Back
Top Bottom