Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Kila la heri, nafikiri nimekosea kuandika few lines, huu ni mjadala mrefu. Upo sahihi, ukisema kuna kitu hakipo sawa ina maama una hoji uhalali wa Biblia au?
 
Hicho kifo cha bob mbona kama kinauhalisia kwa yaliotokea nyuma wauwajibwa bob walikua watatu na kuna jambo lilifanywa na watu watatu🤔
 
Kila la heri, nafikiri nimekosea kuandika few lines, huu ni mjadala mrefu. Upo sahihi, ukisema kuna kitu hakipo sawa ina maama una hoji uhalali wa Biblia au?
Nahoji uhalali wa tafsiri na uhalisia wa tafsiri na iwapo kinachotafsiriwa ndicho halisi. Kama ulivyosema ni mada pana, na umeshakiri kufikiri kukosea. Tuachane nayo, hapa sio sehemu yake.
 
Mara mwisho hyu jamaa niliwahi kumuona kitambaa cheupe pale tabata...ni mtu poa sana sema alipenda totoz ...r.i.p.bob juniur...huzin kwa tasnia nzima kwa kwl..😥
Mkuu,

Upo nje ya mada,anayezungumziwa hapa ni Simba wa huko Serengeti ambaye anaitwa Bob. Siyo huyo Bob junior wa bongo flava.

Naona umesoma tittle ukajiongeza,hukutaka kusoma maelezo ya ndani. Ndiyo maana wabongo tunapigwa kwenye mikataba.
 
Mara mwisho hyu jamaa niliwahi kumuona kitambaa cheupe pale tabata...ni mtu poa sana sema alipenda totoz ...r.i.p.bob juniur...huzin kwa tasnia nzima kwa kwl..😥
Dah...kwa hiyo ulimuona kitambaa cheupe😃😃.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…