Tumefungwa 4-0 na Gor Mahia ya hapo jirani KenyaMara,mmefungwa,mara draw,mara mmeshinda ,5, Sasa tuamin lipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF bhanasimba gani anaishi kariakoo km si paka huyo
😂😂😂😂 rafiki hii mpya.Marudiano tunawafunga huko huko kwao
Hahahaaa. Umeonaeeee.Huko nikwenda kuuza sura, siku wanarudi earphones kila mtu na vipensi
vilivyochanika chanika utazani wenyewe ndiyo washindi
Hahahaaa. Kucheza wamecheza wao na kupanic wanapanic wao.Ahh una kagonjwa cha manaramonia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jamani ilikuwa kijijini kweli kama kwenye mapori tengefu ya Tz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie nguo chafu ninazo.Kamsemo ka Raisi siku mechi na Kagera Sugar bado kanakuhasili povu ruhusa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Swahiba mbali na kimbia kimbia yote ile ila bado wenzao wanaushika mpira kidogo wanafunga bao. Lol.Jamaa wamebebwa ili washinde ila hawakubebeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kabisaaaaaaaa.Sisi tumebebwa na bus letu tupo kambini Moro
Kivipi Rafiki ,this is Simba bana,marudiano watatukoma ,tunawaendea kinole kbs sio uturuki tena[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rafiki hii mpya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Rafiki kwani na wao wana Ahsante Kotoko Day kwamba wamewaalika? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kivipi Rafiki ,this is Simba bana,marudiano watatukoma ,tunawaendea kinole kbs sio uturuki tena[emoji23] [emoji23]
Rafiki au mtarudiana nao kiaje? [emoji23][emoji23][emoji23]Kivipi Rafiki ,this is Simba bana,marudiano watatukoma ,tunawaendea kinole kbs sio uturuki tena[emoji23] [emoji23]
Aargh hawa nao hawana uhasnte wowote,wenzio sherehe tumeivalia kibwaya wao wa nakuja kutibua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani na wao wana Ahsante Kotoko Day kwamba wamewaalika? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwani sio champion league hii? Kwani maandalizi haya ni sherehe tu?Rafiki au mtarudiana nao kiaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sitaki mie lol.Aargh hawa nao hawana uhasnte wowote,wenzio sherehe tumeivalia kibwaya wao wa nakuja kutibua
Rafiki nilijua hii champion league maana tumejiandaa mno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,wametutibua kbs asee,sasa msemaji atasemaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sitaki mie lol.
Unadhani rafiki na mliivalia kibwaya hasaaa.