SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

Mikwara mingi ya uturuki anarudi tz anabarikiwa na droo hi si hatari kwa safari zake?
 
Chupichupu itolewe nishai. Okwi ndiye aliyeiokoa isifungwe yeye kama Okwi sio Simba.
 
Kuna lof...a mmoja alisema "Kwa Simba hii hata ije Man city itafungwa. Kelele na mbwembwe za Haji za kumkebehi hata baba yake hazifanani na matokeo. Hata MO Dewj hakutarajia kuona uborongaji kama ule usiolingana na fedha yake. Mashabiki hawana Imani tena na kocha, salamba, kagere wala chama.

Matokeo yale yamezipatia nguvu na confidence timu za kwenye ligi ambazo zilikuwa zinakihofia kikosi cha Simba.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani na wao wana Ahsante Kotoko Day kwamba wamewaalika? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Aargh hawa nao hawana uhasnte wowote,wenzio sherehe tumeivalia kibwaya wao wa nakuja kutibua

Rafiki nilijua hii champion league maana tumejiandaa mno
 
Back
Top Bottom