[emoji2] [emoji2] [emoji2] lol. Rafiki sio Champions league ile.Kwani sio champion league hii? Kwani maandalizi haya ni sherehe tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atasema tu kwani Mzaramo yule hakosagi cha kuongea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,wametutibua kbs asee,sasa msemaji atasemaje
Rafiki, Rafiki unanichokoza eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atasema tu kwani Mzaramo yule hakosagi cha kuongea.
[emoji101] [emoji101] [emoji101] ninong'oneze rafiki hivi inamaana ulikosa timu ya kushangilia mpaka ukaiona Simba?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We kwa mTimu ule wa 2.1bil ,kazi mnayo Rafiki ,[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] lol. Rafiki sio Champions league ile.
Hivyo unataka kusema na mwaka huu tutawakoma si etii eee?
Ungehamia huku kwetu banaaaaa rafiki.Rafiki, Rafiki unanichokoza eeh
Hahaha huko Rafiki ,nasikia mnakula matikiti maji tu Moro HapoUngehamia huku kwetu banaaaaa rafiki.
Maana kama saa hizi hatufanyi diet yaani Yanga yetu tu ni diet tosha. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaa. Eti Mtimu lol.We kwa mTimu ule wa 2.1bil ,kazi mnayo Rafiki ,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rafiki mwili unahitaji matunda ujue. [emoji12] [emoji12]Hahaha huko Rafiki ,nasikia mnakula matikiti maji tu Moro Hapo
Nitahamia ukinikaribisha rasmi[emoji12]
Sasa Rafiki km mgeni tumemwalika wenyewe, posho yetu ,chakula chetu ,sherehe yetu na bado katuvuga huoni huko champion league ndio....[emoji12] [emoji23]Hahaaaa. Eti Mtimu lol.
Rafiki mie macho yangu na masikio kwenu yapo Champions League tu kwani hapa Tanzani najua mikia mbeleko mnayo kuanzia magorofani huko. [emoji12] [emoji12]
Ahsante ,Hahaha umetisha Rafiki ,Hapo ktk mazaga zagaRafiki mwili unahitaji matunda ujue. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Karibu karibu rafiki ukihamia jezi na mazaga zaga ya Yanga yote mnunuaji nitakuwa mie. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo hata kukuachia anakuachia aiseeee.Sasa Rafiki km mgeni tumemwalika wenyewe, posho yetu ,chakula chetu ,sherehe yetu na bado katuvuga huoni huko champion league ndio....[emoji12] [emoji23]
Hahaaaa. Lol.Ahsante ,Hahaha umetisha Rafiki ,Hapo ktk mazaga zaga
Hahaha Rafiki bana eti nina Uyanga kwa mbali ,mie nasubiri wewe uniletee mazaga zaga mtaani Wangu wa jadi[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo hata kukuachia anakuachia aiseeee.
Ila kama una Uyanga kwa mbaali rafiki yaani kukuhamisha hata sio kazi ujue. [emoji85] [emoji85]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Rafiki kwani ushahamia?Hahaha Rafiki bana eti nina Uyanga kwa mbali ,mie nasubiri wewe uniletee mazaga zaga mtaani Wangu wa jadi
Bado Rafiki [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2] Rafiki kwani ushahamia?
Pia angalia hapo kwenye Red card Kuna muda walibadilisha. Takwimu zao zina mashakaHuyu jamaa anayetengenezwa Jedwari la takwimu anatakiwa afukuzwe kazi zaidi ya 80% ya mechi nilizotazama za AZAM TV ball posession lazima iwe 56% kwa 44%,haijalishi mmechezaje mf msimu uliopita Simba mechi yake kwanza ya ligi alishinda bao 8 bila lakini mwisho wa siku ball possession yake ilikuwa 56% na wapinzani wao 44%,wakati simba alitawala karibia 70% ya mechi yote.Jamani kama hao wafanyakazi wenu hawajui mpira watafuteni watu na wanaojua muwape nafasi.View attachment 830400
Ooooh. Basi rafiki ukija kuhamia nishtue aiseeee.Bado Rafiki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kujiandaa kote kule Uturuki ndo vile walivyocheza swahiba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Swahiba mbali na kimbia kimbia yote ile ila bado wenzao wanaushika mpira kidogo wanafunga bao. Lol.
Kwa hali ile Mikia bado sanaaaa.
Hahahaaa. Yaani hamna jipya Swahiba.Kujiandaa kote kule Uturuki ndo vile walivyocheza swahiba
Haina shaka RafikiOoooh. Basi rafiki ukija kuhamia nishtue aiseeee.
Yaani itakuwa kama nilivyosema hapo juu. [emoji12] [emoji12]