SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,wametutibua kbs asee,sasa msemaji atasemaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atasema tu kwani Mzaramo yule hakosagi cha kuongea.

[emoji101] [emoji101] [emoji101] ninong'oneze rafiki hivi inamaana ulikosa timu ya kushangilia mpaka ukaiona Simba?

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ungehamia huku kwetu banaaaaa rafiki.

Maana kama saa hizi hatufanyi diet yaani Yanga yetu tu ni diet tosha. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaha huko Rafiki ,nasikia mnakula matikiti maji tu Moro Hapo

Nitahamia ukinikaribisha rasmi[emoji12]
 
Hahaaaa. Eti Mtimu lol.

Rafiki mie macho yangu na masikio kwenu yapo Champions League tu kwani hapa Tanzani najua mikia mbeleko mnayo kuanzia magorofani huko. [emoji12] [emoji12]
Sasa Rafiki km mgeni tumemwalika wenyewe, posho yetu ,chakula chetu ,sherehe yetu na bado katuvuga huoni huko champion league ndio....[emoji12] [emoji23]
 
Rafiki mwili unahitaji matunda ujue. [emoji12] [emoji12]

Hahahaaa. Karibu karibu rafiki ukihamia jezi na mazaga zaga ya Yanga yote mnunuaji nitakuwa mie. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ahsante ,Hahaha umetisha Rafiki ,Hapo ktk mazaga zaga
 
Sasa Rafiki km mgeni tumemwalika wenyewe, posho yetu ,chakula chetu ,sherehe yetu na bado katuvuga huoni huko champion league ndio....[emoji12] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo hata kukuachia anakuachia aiseeee.

Ila kama una Uyanga kwa mbaali rafiki yaani kukuhamisha hata sio kazi ujue. [emoji85] [emoji85]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo hata kukuachia anakuachia aiseeee.

Ila kama una Uyanga kwa mbaali rafiki yaani kukuhamisha hata sio kazi ujue. [emoji85] [emoji85]
Hahaha Rafiki bana eti nina Uyanga kwa mbali ,mie nasubiri wewe uniletee mazaga zaga mtaani Wangu wa jadi
 
Huyu jamaa anayetengenezwa Jedwari la takwimu anatakiwa afukuzwe kazi zaidi ya 80% ya mechi nilizotazama za AZAM TV ball posession lazima iwe 56% kwa 44%,haijalishi mmechezaje mf msimu uliopita Simba mechi yake kwanza ya ligi alishinda bao 8 bila lakini mwisho wa siku ball possession yake ilikuwa 56% na wapinzani wao 44%,wakati simba alitawala karibia 70% ya mechi yote.Jamani kama hao wafanyakazi wenu hawajui mpira watafuteni watu na wanaojua muwape nafasi.View attachment 830400
Pia angalia hapo kwenye Red card Kuna muda walibadilisha. Takwimu zao zina mashaka
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Swahiba mbali na kimbia kimbia yote ile ila bado wenzao wanaushika mpira kidogo wanafunga bao. Lol.

Kwa hali ile Mikia bado sanaaaa.
Kujiandaa kote kule Uturuki ndo vile walivyocheza swahiba
 
Back
Top Bottom