huwa tunafungwa tu...leo tumevunja mwikoHivi simba alishawahi kufungwa kwenye simba day???
Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.Sembo hongereni watani kwa kusherehekea miaka 80 ya kuanzishwa pia hongereni kwa ushindi mnono.
Binafsi nimefatilia nimelizika na timu ila wasiwasi wangu upande wa kulia...Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.
Yanga ilipopigwa 5-0 na Simba ilikuwa inashika nafasi ya 3AFC sio ya kujisifu kwao inashika nafasi ya 11 bora ingekuwa Gor Mahia
Acha uongo!? ni ya 9 na imepitwa pointi 11 na anayeongoza ligi...AFC sio ya kujisifu kwao inashika nafasi ya 11 bora ingekuwa Gor Mahia
shughulikieni maratizo yenu msuje mkashushwa daraja .Kwa mpira ule mwaka huu kwenye ligi nafasi ya 9 inawahusu,yaani vile mnavyorukaruka wakati mmekutana na utumbo ule mtatia aibu sana mwaka huu.
WamesahauYanga juzi mmekula 3 kwa timu inayoshika nafasi ya 5.Ligi kuu ya Ghana.
Nakusubur kwenye ligi nikukongolii
Kwa simba hii ushauri wa bure kwa mbumbumbu fc iyo trh 1/10 wasipeleke timu uwanjani naziona 10
Hivi simba alishawahi kufungwa kwenye simba day???
Simba ndio LITIMU gani?
ile timu ya hal
mashauri iliyokupiga juzi kwa nini hujaialika simba day ukaialika mchangani ya Kenya?
AFC sio ya kujisifu kwao inashika nafasi ya 11 bora ingekuwa Gor Mahia
Enyi "Matomaso" Mnyama afanye nini, ili muamini kua sasa ''kaiva".Ghana na Kenya ni kama mbingu na ardhi "mbojo" hivi ni lini Leopard imekuwa bingwa Kenya au inashikilia kombe gani au mngeomba mechi na timu kama Azam, Prison,Mwadui kuliko hiyo Leopard!!! Ngoja tuone maajabu kwani KMC walifanya nini Morogoro? Timu daraja la kwanza
Mkuu hata mm nimeliona hilo.. Kwakua usajili ushafungwa, naamini "Mtalaamu" Omog, kwa kutumia silaha kali alizonazo atalifanyia kazi hilo, na kila kitu kitaenda sawa.Binafsi nimefatilia nimelizika na timu ila wasiwasi wangu upande wa kulia...
Zimbaaaaaa......Zimba kokohahahahaaaaaa......
Mkuu huna habari??Waambie hao,maana wanatia kelele sana.
Bora mngewaalika manyema FC tunheona mchezo mzuri kuliko hao mijusi.
Wale wale hao,burkina faso nayo tim?,Mkuu huna habari??
Wiki 2 zilizopita Mnyama alicheza na timu za level ya Manyema FC, mjini Morogoro alipokua kambi, na mpira ulikua mzuri kweli.. Matokeo yake ni;
Simba 6 Polisi Moro 0
Simba 2 Moro Kids 0
Simba 5 Bukinafaso 0
Simba 0 KMC 1.
Leo tumeamua kuvuka boda, matokeo ndo kama ulivyoshuhudia mwenyewe.
Mkuu si umetushauri tucheze na Manyema? Sasa hizo timu za Morogoro zina tofauti gani na Manyema?Wale wale hao,burkina faso nayo tim?,
Ila nawaambia tu watani zangu msirelie kwenye matokeo hayo.jipime nguvu kwa aliyekuzid ma uliyemzidi.
So hayo matimu mliyoyafunga hapo yote daraja la kwanza,tena hwakuwa serious kama mlivoweka nyie kambi.