endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Najua kabisa mashabiki wa Simba wamefurahi na bila shaka yoyote watasahau shida zote za huko nyuma na kuhusu mabadiliko.Lakini nina hakika hata mwaka jana Simba haikua na kikosi kibaya sana.Simba tatizo ni viongozi hawa wababaishaji,itafika baadae Timu inafanya vizuri afu wanaanza ubabaishaji wao.Wengine wataanza kugawa wachezaji kwa maslahi yao binafsi.Simba haifiki popote kwa uongozi huu..Timu nzuri sana,ila Tatizo ni Uongozi,watu wasiondoke kwenye swala la msingi