Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

Simba Day: Simba S.C 4 AFC Leopards 0

Najua kabisa mashabiki wa Simba wamefurahi na bila shaka yoyote watasahau shida zote za huko nyuma na kuhusu mabadiliko.Lakini nina hakika hata mwaka jana Simba haikua na kikosi kibaya sana.Simba tatizo ni viongozi hawa wababaishaji,itafika baadae Timu inafanya vizuri afu wanaanza ubabaishaji wao.Wengine wataanza kugawa wachezaji kwa maslahi yao binafsi.Simba haifiki popote kwa uongozi huu..Timu nzuri sana,ila Tatizo ni Uongozi,watu wasiondoke kwenye swala la msingi
 
Sembo hongereni watani kwa kusherehekea miaka 80 ya kuanzishwa pia hongereni kwa ushindi mnono.
Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.
 
Shukrani Mkuu.. Nadhani lile soka nililokua nalizungumzia humu Kila siku umelishuhudia.. Hata Yule mchezaji mwenye rekodi ya kina CR7, Messi na Suarez umemshuhudia pia. Na ligi ianze sasa.
Binafsi nimefatilia nimelizika na timu ila wasiwasi wangu upande wa kulia...
 
Kwa mpira ule mwaka huu kwenye ligi nafasi ya 9 inawahusu,yaani vile mnavyorukaruka wakati mmekutana na utumbo ule mtatia aibu sana mwaka huu.
 
Kwa mpira ule mwaka huu kwenye ligi nafasi ya 9 inawahusu,yaani vile mnavyorukaruka wakati mmekutana na utumbo ule mtatia aibu sana mwaka huu.
shughulikieni maratizo yenu msuje mkashushwa daraja .
 
Nakusubur kwenye ligi nikukongolii

Kwa simba hii ushauri wa bure kwa mbumbumbu fc iyo trh 1/10 wasipeleke timu uwanjani naziona 10

Hivi simba alishawahi kufungwa kwenye simba day???

Simba ndio LITIMU gani?

ile timu ya hal
mashauri iliyokupiga juzi kwa nini hujaialika simba day ukaialika mchangani ya Kenya?

AFC sio ya kujisifu kwao inashika nafasi ya 11 bora ingekuwa Gor Mahia

Ghana na Kenya ni kama mbingu na ardhi "mbojo" hivi ni lini Leopard imekuwa bingwa Kenya au inashikilia kombe gani au mngeomba mechi na timu kama Azam, Prison,Mwadui kuliko hiyo Leopard!!! Ngoja tuone maajabu kwani KMC walifanya nini Morogoro? Timu daraja la kwanza
Enyi "Matomaso" Mnyama afanye nini, ili muamini kua sasa ''kaiva".
Kila siku nawaambia kua Simba hii ya sasa ni pasi nyingi zenye macho kwa kwenda mbele, mpira ni wa kasi mda wote, kuna mabeki wakatili ambao kuwapita labda uwavunje miguu hamuamini, kuna fowadi za hatari sana, hamkuniamini.
Leo mmeshuhudia wenyewe yote hayo bado hamuamini.
Basi subirini hiyo tarehe 01/10 ndo mtaamini.

Nakala: nasmapesa
 
Binafsi nimefatilia nimelizika na timu ila wasiwasi wangu upande wa kulia...
Mkuu hata mm nimeliona hilo.. Kwakua usajili ushafungwa, naamini "Mtalaamu" Omog, kwa kutumia silaha kali alizonazo atalifanyia kazi hilo, na kila kitu kitaenda sawa.
 
Pia kwa faida ya "Matomaso" Mnyama sasa ana pampu ya kukipiga hata Dk. 270 mfululizo bila kuchoka.. Sasa mliozoea kua Mnyama zake ni Dk. 70 tu hoi, msahau hilo msimu huu.. Ukisikia SIMBA MABALIKO.. Jua, si katika nani amiliki timu tu.. Bali ni hata uwanjani.
 
Waambie hao,maana wanatia kelele sana.
Bora mngewaalika manyema FC tunheona mchezo mzuri kuliko hao mijusi.
 
Waambie hao,maana wanatia kelele sana.
Bora mngewaalika manyema FC tunheona mchezo mzuri kuliko hao mijusi.
Mkuu huna habari??
Wiki 2 zilizopita Mnyama alicheza na timu za level ya Manyema FC, mjini Morogoro alipokua kambi, na mpira ulikua mzuri kweli.. Matokeo yake ni;

Simba 6 Polisi Moro 0

Simba 2 Moro Kids 0

Simba 5 Bukinafaso 0

Simba 0 KMC 1.

Leo tumeamua kuvuka boda, matokeo ndo kama ulivyoshuhudia mwenyewe.
 
Wale wale hao,burkina faso nayo tim?,
Ila nawaambia tu watani zangu msirelie kwenye matokeo hayo.jipime nguvu kwa aliyekuzid ma uliyemzidi.
So hayo matimu mliyoyafunga hapo yote daraja la kwanza,tena hwakuwa serious kama mlivoweka nyie kambi.
 
A throw in is just like an indirect free kick. The ball can not go into the net untouched
 
Wale wale hao,burkina faso nayo tim?,
Ila nawaambia tu watani zangu msirelie kwenye matokeo hayo.jipime nguvu kwa aliyekuzid ma uliyemzidi.
So hayo matimu mliyoyafunga hapo yote daraja la kwanza,tena hwakuwa serious kama mlivoweka nyie kambi.
Mkuu si umetushauri tucheze na Manyema? Sasa hizo timu za Morogoro zina tofauti gani na Manyema?
Labda tu nukuibie siri.. Simba hii ya sasa ni KAZI KAZI.. hatuwezi kuridhika na hivi vimatokeo.. Tutapumzika mwakani baada ya kubeba "ndoo" zetu 3.. Ndoo zipo hizo? Tukutane hapa mwakani.
 
Back
Top Bottom