Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Kikosi changu cha kwanza.

1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Ibra Ame
5. Babu Onyango
6. Fraga
7. Luiz Miaquissone
8. Chama Chota
9....
10. Rarry Bwalya
11. Morrison

Aliyeniudhi ni Ndemla, anapiga shuti bila kuangalia Goli, nimemshauri sana na hasikii.
Kama angejirekebisha kwa hili ndio angekuwa namba 9 wetu.
Ona video ya goli la Morrison, kabla ya kupiga ali litazama goli na golikipa. Yaani ni lazima uangalie goli kabla ya kupiga shuti.
Jirekebishe Ndemla.
Ajibu ame jiongeza sana, sasa hivi anacheza mpira mkubwa. Hongera Ajibu.
Ilafya yuko vizuri, Gabriel Maiko sasa yuko vizuri sana. Duchu pia.
Namba 9 lazima Boko, Kagere na Magalu waipiganie.
Magalu ni mzuri, ila anahitaji ale chakula kingi bora. Aongeze stamina, amekonda na ni mwepesi.
(Magalu eat enough food)

Kwa ujumla wachezaji karibu wote sasa hivi wanacheza kwa kujituma na ni wazuri

Asante sana MO Dewji, na Raisi wetu John Pombe Magufuli.
 
Hapo hakuna timu, labda Kama unajifariji
 
Unataka kucheza na Bayern Munich wakati waliokufunga goli tano tano kujilinganisha na Munich ni sawasawa na mtoto wa darasa la kwanza kujilinganisha na mwanafunzi wa chuo kikuu hao wachezaji wako wangekuwa wazuri wangeenda nje kama akina Muleka wa As Vita
 
Kwani huko Nje unaenda tu kama unayepita Mlango wa Uwani?
Minyani bhana!
 
Natamani kuiona Yanga ikicheza na Vitalo Jumapili kwenye kilele cha Yanga Day.
 
Kikosi changu cha kwanza.

1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Ibra Ame
5. Babu Onyango
6. Fraga
7. Luiz Miaquissone
8. Chama Chota
9....
10. Rarry Bwalya
11. Morrison

Aliyeniudhi ni Ndemla, anapiga shuti bila kuangalia Goli, nimemshauri sana na hasikii.
Kama angejirekebisha kwa hili ndio angekuwa namba 9 wetu.
Ona video ya goli la Morrison, kabla ya kupiga ali litazama goli na golikipa. Yaani ni lazima uangalie goli kabla ya kupiga shuti.
Jirekebishe Ndemla.
Ajibu ame jiongeza sana, sasa hivi anacheza mpira mkubwa. Hongera Ajibu.
Ilafya yuko vizuri, Gabriel Maiko sasa yuko vizuri sana. Duchu pia.
Namba 9 lazima Boko, Kagere na Magalu waipiganie.
Magalu ni mzuri, ila anahitaji ale chakula kingi bora. Aongeze stamina, amekonda na ni mwepesi.
(Magalu eat enough food)

Kwa ujumla wachezaji karibu wote sasa hivi wanacheza kwa kujituma na ni wazuri

Asante sana MO Dewji, na Raisi wetu John Pombe Magufuli.
Rais ni kocha mbumbumbu hapo au ni bosi?
 
Hizi Nyani bado hazijaogopa tu?

1) Gongowazi FC
2) Ndala FC
3) Vyura FC
4) Madimbwini FC
5) Lialia FC
6) Ombaomba FC
7) Matikitimaji FC
8) GSM FC
9) NjaaKali FC
10) Mabakuli FC
11) Masufuria FC
12) Utopolo FC
13) Uneducated FC
14) Manyani FC
15) Mambwa FC
16) Bwekabweka FC
17) MikatabaFake FC
18) Wakufoji FC
19) Igaiga FC

OKW BOBAN SUNZU
 
Back
Top Bottom