Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Leo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Sasa kama hawana kazi iyo hela ya kiingilio wameitolea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…