Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Niko huku Nanjilinji nafikaje sa huko. 😎😎Mkuje taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko huku Nanjilinji nafikaje sa huko. 😎😎Mkuje taifa
Sasa kama hawana kazi iyo hela ya kiingilio wameitolea wapiLeo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Simba Lia lia mwenzio huyo ujue.Mshaanz kuumwa Na tumbo
Sogea huku kivinje twendeNiko huku Nanjilinji nafikaje sa huko. 😎😎
😀😀😀Sogea huku kivinje twende
Kwa hiyo wewe shida yako muda au report ya siku?rudi tena Yanga mkubwa weweeeeee
Mtandao huwa unasumbua sana ndani ya uwanja..!mlioko kwa Mkapa simu zenu hazina camera? leteni mapicha
Waliopo ndani na wakaujaza uwanja ni wachache sana kulinganisha na walipo nje wakiwa wamekosa nafasi
Toooba.Mtandao huwa unasumbua sana ndani ya uwanja..!
Picha za nini Shadeeya ? nikufate twende ukajionee live?Ujue mmetuacha kwenye Mataa ziko wapi picha tuone mlivyojaza Uwanja mana tunawajibika huku tukitegemea Updates kutoka kwenu.
Hebu leteni picha bana. 😜😜
Eti eee?Waliopo ndani na wakaujaza uwanja ni wachache sana kulinganisha na walipo nje wakiwa wamekosa nafasi
Oooh. Haya mie nazisubiria hizo picha za leo nizione. 🙈🙈Hatuna haja ya kuleta picha za jana maana sisi tunajisifu kwa tunayofanya leo sio yale yaliyofanyika mwaka jana au juzi
Toooba.
Lengo waifunike siku ya wananchi. Kimbembe saa ya kutoka wataibiana hao. Mana wengi ni vibaka.aloo watu wanasombwa kwa malori toka matawini, wanapewa tiketi buree, kweli mikia fc ni shidaa