Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Leo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Sasa kama hawana kazi iyo hela ya kiingilio wameitolea wapi
 
Hali ni hatari haijawahi kutokea Africa nzima

67870695_406640436871763_1654869608026341376_n.jpg



Nje kumejaa ndani kumefurika
 
Back
Top Bottom