Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa!
Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo!
Unapochukua kocha Kuna vitu vingi vinavyoangaliwa kuanzia mifumo yake, uweledi wake, mbinu zake za kiufundi je vinaendana na utamaduni wa klabu husika, na sio kuangalia cv tu peke yake!
Kocha Nabi alichukuliwa na yanga akitokea El merekh ya Sudan ambako alifukuzwa kwa kufanya vibaya lakini alichokuja kujifanya akiwa yanga Kila mtu mwenye akili timamu anajua na kukumbuka!
Alivyoondoka wachambuzi uchwara na vibaraka wao wakasema ndio mwisho wa yanga but Engineer akamwibua Tena gamond aliyekuwa hana timu takribani mwaka mzima na alichokuja kukifanya Kila mtu aliufyata!
Sasa amechukuliwa Saed tiyali midomo isiyokuwa na breki imeanza na wapiga ramli washaingia kazini kupiga ramli zao, mara yanga inapotea, mara yanga inaanza upya, mara ubingwa awapati Tena kwa kubadili kocha ilimradi tu kukamilisha siku na kutafuta followers mitandaoni!
Yanga ya sasa hivi ata ukimpa Aly kamwe aiongoze kuwa kocha anaweza na ikafanya vizuri, uwepo wa wachezaji Bora wanaojielewa na waliokomaa ndio msingi na uti wa mgongo wa timu, kwa maana iyo yanga aiwezi kuanza upya bali kocha ataendeleza alipoishia gamond kama ambavyo gamond aliendeleza alipoishia Nabi!