Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
 
Mechi ni draw
 
Kwa mashabiki wa simba wabetiji... Hii game itakua na over 8 corners.. Na over 2. 5 goals... Combine weka mzigo mzito....
 
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Ushauri mzuri ila sidhani kama watafika huko, nadhani mechi itaamuliwa ndani ya dakika 90. Kumbuka njia pekee ya kufika kwenye penati ni Wydad kushinda 1-0, matokeo mengine yoyote hayapeleki gemu kwenye penati. Naona gemu kiujumla itakuwa na goli zaidi ya moja, 1-1 au 2-1.
 
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
kye kyeeeee!hapo kwanza ngoja ncheke
 
20230425_124629.jpg

Hapa ndo hakuna njia wakiweka hivi
 
Usimalize maneno wee mtu, utakuja kuumbukaa lol
Yaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapi
 
Hebu sema kweliiii?? Nitakurudia ikiwa tofautiii
 
Yaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapi
HeH
 
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
thubutu jiandae kuoga magoli
 
Back
Top Bottom