Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Wewe mla unga una matokeo gani sasa?Ni wavuta bangi tu ndio wanaweza kuamini matokeo ya aina hiyo, Simba hata aruhusiwe kuchezesha magolikipa watatu bado atakula chuma kuanzia 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mla unga una matokeo gani sasa?Ni wavuta bangi tu ndio wanaweza kuamini matokeo ya aina hiyo, Simba hata aruhusiwe kuchezesha magolikipa watatu bado atakula chuma kuanzia 3.
🤣Hawa hawakujiandaa kutolewa Simba, walijiandaa na kudhalilishwa Simba. Sasa kwa dk 95 walikosa furaha kabisa mpaka kapombe alipokosa penati ndo wakapata faraja.
Nimekubali utabiri wako we noma aiseKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Heshima kwako mkuu....mule muleKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Punguza KUPENDA UTABIRI, LAMLI, Unajimu, hizi ni kazi za ibilisi.
Muda ni hakimu mwema, UTATOA MAJIBU WENYEWE.
Muda haudanganyi.
KIZAZi Cha kamali
umebahatisha tu , mechi ya kwanza ulitabiri moja moja , mwarabu akafaKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Sasa wewe Dunduka kwani Nusu fainali mnacheza na timu gani labda utukumbushe? Mmefungwa ndani ya dakika 90 kama ilivyotarajiwa, una maoni gani ewe ndugu kolowizardWewe mla unga una matokeo gani sasa?
Sawaumebahatisha tu , mechi ya kwanza ulitabiri moja moja , mwarabu akafa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Basi sawaaahNdio mtoke kabisa na msirudi tena, hizo penalty hata nyinyi mmecheza tena mlianza wenyewe.
Kipyempe aibu inewajaaSasa wewe Dunduka kwani Nusu fainali mnacheza na timu gani labda utukumbushe? Mmefungwa ndani ya dakika 90 kama ilivyotarajiwa, una maoni gani ewe ndugu kolowizard
Ila ndugu zetu nyinyi Kuna sehemu hampo sawa, Sisi swala letu ni kutoka tu hayo mengine ilikuwa mikwara tu, Sisi swali letu ni moja, hamjafungwa goli nyingi sawa, je nusu fainali mnacheza na timu gani? Mkitujibu ndio tutajua aibu yetu au yenu?Kipyempe aibu inewajaa
Basi mkaribie Jpili mtusindikize kuelekea kule mlikoshindwa kufika , tiketi za bure ninazoBasi sawaaah
Kwa hiyo sisi kutofuzu hatua inayofuata nyie mnafaidikaje pengine?Ila ndugu zetu nyinyi Kuna sehemu hampo sawa, Sisi swala letu ni kutoka tu hayo mengine ilikuwa mikwara tu, Sisi swali letu ni moja, hamjafungwa goli nyingi sawa, je nusu fainali mnacheza na timu gani? Mkitujibu ndio tutajua aibu yetu au yenu?
Nasubiria uzi wa Yanga .Kesho nitaongea [emoji2960]
Kwanza unaelewa nin kuhusu neno utabiriumebahatisha tu , mechi ya kwanza ulitabiri moja moja , mwarabu akafa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
umebahatisha tu , mechi ya kwanza ulitabiri moja moja , mwarabu akafa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤭Kukubali watu kazi sana, moe maua yake. Hata hiyo ya moja moja was almost close.
SahihiPenati inahitaji utulivu wa Hali ya juu , kuondoa woga na ustadi wa kupiga .
Tofauti na hapo matokeo yatakuwa hafifu