Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

Si tulishakubaliana wanakufa 7-0!!

Sasa penalt zinatoka wapi tena🤷🤷
 
Yaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapi
Mpira hauko hvyo shehe wangu.
 
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Aiseee, ngoja tuone
 
Back
Top Bottom