Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.

Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.

Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Ulisema
 
Uliona
 
Ni wavuta bangi tu ndio wanaweza kuamini matokeo ya aina hiyo, Simba hata aruhusiwe kuchezesha magolikipa watatu bado atakula chuma kuanzia 3.
Hawa ndo huja na habari "KUTOLEWA NI KUTOLEWA TU" imetolewa simba ila wanaumia wao.
 
Back
Top Bottom