Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
😆😆😆😆😆Punguza KUPENDA UTABIRI, LAMLI, Unajimu, hizi ni kazi za ibilisi.
Muda ni hakimu mwema, UTATOA MAJIBU WENYEWE.
Muda haudanganyi.
KIZAZi Cha kamali
HakikaHili nalo lizingatiwe haswa
Mechi ni drawKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Sawa mkuuMechi ni draw
Ushauri mzuri ila sidhani kama watafika huko, nadhani mechi itaamuliwa ndani ya dakika 90. Kumbuka njia pekee ya kufika kwenye penati ni Wydad kushinda 1-0, matokeo mengine yoyote hayapeleki gemu kwenye penati. Naona gemu kiujumla itakuwa na goli zaidi ya moja, 1-1 au 2-1.Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
kye kyeeeee!hapo kwanza ngoja nchekeKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Usimalize maneno wee mtu, utakuja kuumbukaa lolNi wavuta bangi tu ndio wanaweza kuamini matokeo ya aina hiyo, Simba hata aruhusiwe kuchezesha magolikipa watatu bado atakula chuma kuanzia 3.
Yaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapiUsimalize maneno wee mtu, utakuja kuumbukaa lol
Hebu sema kweliiii?? Nitakurudia ikiwa tofautiiiYaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapi
Wewe rudi tu ila utatoka tu tena bila kutumia nguvu ni swala la kufungwa tu kirahisi kama mazoeziHebu sema kweliiii?? Nitakurudia ikiwa tofautiii
HeHYaani niumbuke kwa lipi? Hilo jambo haliwezekani katika hali yoyote ile na ikitokea labda Wydad wasije uwanjani ila wakifika tu kbla ya mechi kuanza matokea yatasoma 2-0,baada ya mechi ndio mjichagulie ziongezwe goli ngapi
thubutu jiandae kuoga magoliKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.