Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
-
- #61
π€£π€£Mvuta Bangi mwingine, Sasa kumbe nusu fainali mnacheza na timu gani?
VIPI YANGA ATATOBOA?ππ
Kesho nitaongea π€VIPI YANGA ATATOBOA?
πSiba guvu moya
Tumetoka kwa penalty,Wewe rudi tu ila utatoka tu tena bila kutumia nguvu ni swala la kufungwa tu kirahisi kama mazoezi
Ndio mtoke kabisa na msirudi tena, hizo penalty hata nyinyi mmecheza tena mlianza wenyewe.Tumetoka kwa penalty,
π€£Ndio mtoke kabisa na msirudi tena, hizo penalty hata nyinyi mmecheza tena mlianza wenyewe.
UlisemaKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
Akutabirie nn? π π .Nataka na mm unitabirie
UlionaKuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili.
Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad kupata magoli mengi. Kampuni mbali mbali za kubeti zinaipa nafasi kubwa Wydad kuibuka ushindi katika mchezo huo ambapo Wydad kushinda, amepewa alama 1.45, kusare 3.90, Simba 8.0.
Utabiri wangu FT, Wydad 1-0 Simba.
NdioUlisema
πNitabirie mwaka huu hili Lishangazi litaniacha au maana silielewi elewi sshv nitabirie chapu basi mkuu
Mechi nilikuwa nayo kwenye flashUliona
Hawa ndo huja na habari "KUTOLEWA NI KUTOLEWA TU" imetolewa simba ila wanaumia wao.Ni wavuta bangi tu ndio wanaweza kuamini matokeo ya aina hiyo, Simba hata aruhusiwe kuchezesha magolikipa watatu bado atakula chuma kuanzia 3.
Yaani Simba atolewe waumie wasiokuwa Simba?Hawa ndo huja na habari "KUTOLEWA NI KUTOLEWA TU" imetolewa simba ila wanaumia wao.
Yaani Simba atolewe waumie wasiokuwa Simba?