Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

Nimekubali utabiri wako we noma aise
 
Heshima kwako mkuu....mule mule
 
umebahatisha tu , mechi ya kwanza ulitabiri moja moja , mwarabu akafa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mla unga una matokeo gani sasa?
Sasa wewe Dunduka kwani Nusu fainali mnacheza na timu gani labda utukumbushe? Mmefungwa ndani ya dakika 90 kama ilivyotarajiwa, una maoni gani ewe ndugu kolowizard
 
Kipyempe aibu inewajaa
Ila ndugu zetu nyinyi Kuna sehemu hampo sawa, Sisi swala letu ni kutoka tu hayo mengine ilikuwa mikwara tu, Sisi swali letu ni moja, hamjafungwa goli nyingi sawa, je nusu fainali mnacheza na timu gani? Mkitujibu ndio tutajua aibu yetu au yenu?
 
Kwa hiyo sisi kutofuzu hatua inayofuata nyie mnafaidikaje pengine?
 
Penati inahitaji utulivu wa Hali ya juu , kuondoa woga na ustadi wa kupiga .
Tofauti na hapo matokeo yatakuwa hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…