Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..

Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options zilizokuepo ilikua either Zanzibar au Nchi Jirani wakaona wanaenda kutoka kabisa....ukafanyik UHUNI ukibarikiwa na TFF Na Serikali kuwadanganya CAF kua Uwanja Umeshakamilika upo vizur na kwa Taarfa nilizo nazo Pesa za Rushwa zilitembea sana kuanzia Tanzania humuhumi hadi CAF...

Mwisho wa siku CAF wakajaaa Match ikapigwa kwa Mkapa nini kilitokea nahisi kila mtu aliona ilikua ni AIBU ya KARNE Pitch ilikua Mbovu kama Viwanja vya Malawi dadeek.

After Match haikula hata Siku Moja Serikali ikaona imejivua Nguo kabisa ikafungia ule uwanja why uwanja ule ulifungiwa Immediate after ile game tu ambayo simba alipita na baada ya pale mlisikia simba wakilalamika? NO because walikua wamefanikiwa kuvuka na next stage game walianzia Home sa ikawa zanzibar kule game ikaisha 1-0 so saiv wamekaaa wakawaza just itokeee wachukue chuma 2 au 3 kule Morroco the 2 Leg ipigwe kule zanzibar ambako hawawez mfunga mtu kuanzia goli 2 itakuaje?

Ndio m aona hio Milio ya kila aina..ila ukweli Simba Alibebwa sana game ya Masry na yeye anajua hilo.

Ila anyway Msijisahau mkawaza sana Second Leg...huku First Leg mkala HAMSA sijui itakuaje.
 
Na wamevunja sheria ipi ambayo vyura & the coys wameshindwa kutumia?Roho inakuuma utadhani kimalaya cha uswazi kimeachika kwa hawara mbeba mizigo wa stendi.Chura majinuni waheed!
 
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..

Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options zilizokuepo ilikua either Zanzibar au Nchi Jirani wakaona wanaenda kutoka kabisa....ukafanyik UHUNI ukibarikiwa na TFF Na Serikali kuwadanganya CAF kua Uwanja Umeshakamilika upo vizur na kwa Taarfa nilizo nazo Pesa za Rushwa zilitembea sana kuanzia Tanzania humuhumi hadi CAF...

Mwisho wa siku CAF wakajaaa Match ikapigwa kwa Mkapa nini kilitokea nahisi kila mtu aliona ilikua ni AIBU ya KARNE Pitch ilikua Mbovu kama Viwanja vya Malawi dadeek.

After Match haikula hata Siku Moja Serikali ikaona imejivua Nguo kabisa ikafungia ule uwanja why uwanja ule ulifungiwa Immediate after ile game tu ambayo simba alipita na baada ya pale mlisikia simba wakilalamika? NO because walikua wamefanikiwa kuvuka na next stage game walianzia Home sa ikawa zanzibar kule game ikaisha 1-0 so saiv wamekaaa wakawaza just itokeee wachukue chuma 2 au 3 kule Morroco the 2 Leg ipigwe kule zanzibar ambako hawawez mfunga mtu kuanzia goli 2 itakuaje?

Ndio m aona hio Milio ya kila aina..ila ukweli Simba Alibebwa sana game ya Masry na yeye anajua hilo.

Ila anyway Msijisahau mkawaza sana Second Leg...huku First Leg mkala HAMSA sijui itakuaje.
Siku makolo wakiweza kumiliki uwanja wao,huo uwanja utakua kila aina ya uchawi,madawa ya kupuliza,makolo wana imani za kizamani mno
 
Hata na Stellenbosch kuna makosa mengi yaliifaidisha Simba ikiwa ni pamoja na goli la offside liliwavusha, huku reverse fixture Stellenbosch alinyinywa goli la halali kabisa.
 
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..

Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options zilizokuepo ilikua either Zanzibar au Nchi Jirani wakaona wanaenda kutoka kabisa....ukafanyik UHUNI ukibarikiwa na TFF Na Serikali kuwadanganya CAF kua Uwanja Umeshakamilika upo vizur na kwa Taarfa nilizo nazo Pesa za Rushwa zilitembea sana kuanzia Tanzania humuhumi hadi CAF...

Mwisho wa siku CAF wakajaaa Match ikapigwa kwa Mkapa nini kilitokea nahisi kila mtu aliona ilikua ni AIBU ya KARNE Pitch ilikua Mbovu kama Viwanja vya Malawi dadeek.

After Match haikula hata Siku Moja Serikali ikaona imejivua Nguo kabisa ikafungia ule uwanja why uwanja ule ulifungiwa Immediate after ile game tu ambayo simba alipita na baada ya pale mlisikia simba wakilalamika? NO because walikua wamefanikiwa kuvuka na next stage game walianzia Home sa ikawa zanzibar kule game ikaisha 1-0 so saiv wamekaaa wakawaza just itokeee wachukue chuma 2 au 3 kule Morroco the 2 Leg ipigwe kule zanzibar ambako hawawez mfunga mtu kuanzia goli 2 itakuaje?

Ndio m aona hio Milio ya kila aina..ila ukweli Simba Alibebwa sana game ya Masry na yeye anajua hilo.

Ila anyway Msijisahau mkawaza sana Second Leg...huku First Leg mkala HAMSA sijui itakuaje.
Mambo yao wanayofanyaga pale kwa mkapa tunayajua ndio maana wamevurugwa wanajua kule zenji ni ngumu sana kuyafanya kwa 100% ukizingatia walishayaandaa kwa mkapa kama kawaida yao! Tunajua Kila kitu labda mgeni asiyewajua!
 
Safari hii tutashudia kama kweli uchawi unaweza kuvuka maji/bahari, au la!
 
Fanya wewe uwo ujanja ujanja na hiyo timu yako msimu ujao
 
Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..

Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options zilizokuepo ilikua either Zanzibar au Nchi Jirani wakaona wanaenda kutoka kabisa....ukafanyik UHUNI ukibarikiwa na TFF Na Serikali kuwadanganya CAF kua Uwanja Umeshakamilika upo vizur na kwa Taarfa nilizo nazo Pesa za Rushwa zilitembea sana kuanzia Tanzania humuhumi hadi CAF...

Mwisho wa siku CAF wakajaaa Match ikapigwa kwa Mkapa nini kilitokea nahisi kila mtu aliona ilikua ni AIBU ya KARNE Pitch ilikua Mbovu kama Viwanja vya Malawi dadeek.

After Match haikula hata Siku Moja Serikali ikaona imejivua Nguo kabisa ikafungia ule uwanja why uwanja ule ulifungiwa Immediate after ile game tu ambayo simba alipita na baada ya pale mlisikia simba wakilalamika? NO because walikua wamefanikiwa kuvuka na next stage game walianzia Home sa ikawa zanzibar kule game ikaisha 1-0 so saiv wamekaaa wakawaza just itokeee wachukue chuma 2 au 3 kule Morroco the 2 Leg ipigwe kule zanzibar ambako hawawez mfunga mtu kuanzia goli 2 itakuaje?

Ndio m aona hio Milio ya kila aina..ila ukweli Simba Alibebwa sana game ya Masry na yeye anajua hilo.

Ila anyway Msijisahau mkawaza sana Second Leg...huku First Leg mkala HAMSA sijui itakuaje.
Subiri tukimaliza mechi ya mwisho ili uje huku JF uombe wafute huu uzi wako tupate nafasi ya kuandika vitu vya maana...
 
Back
Top Bottom