Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe..

Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options zilizokuepo ilikua either Zanzibar au Nchi Jirani wakaona wanaenda kutoka kabisa....ukafanyik UHUNI ukibarikiwa na TFF Na Serikali kuwadanganya CAF kua Uwanja Umeshakamilika upo vizur na kwa Taarfa nilizo nazo Pesa za Rushwa zilitembea sana kuanzia Tanzania humuhumi hadi CAF...

Mwisho wa siku CAF wakajaaa Match ikapigwa kwa Mkapa nini kilitokea nahisi kila mtu aliona ilikua ni AIBU ya KARNE Pitch ilikua Mbovu kama Viwanja vya Malawi dadeek.

After Match haikula hata Siku Moja Serikali ikaona imejivua Nguo kabisa ikafungia ule uwanja why uwanja ule ulifungiwa Immediate after ile game tu ambayo simba alipita na baada ya pale mlisikia simba wakilalamika? NO because walikua wamefanikiwa kuvuka na next stage game walianzia Home sa ikawa zanzibar kule game ikaisha 1-0 so saiv wamekaaa wakawaza just itokeee wachukue chuma 2 au 3 kule Morroco the 2 Leg ipigwe kule zanzibar ambako hawawez mfunga mtu kuanzia goli 2 itakuaje?

Ndio m aona hio Milio ya kila aina..ila ukweli Simba Alibebwa sana game ya Masry na yeye anajua hilo.

Ila anyway Msijisahau mkawaza sana Second Leg...huku First Leg mkala HAMSA sijui itakuaje.
Ati ujanja ujanja?we na hio timu yako hamuna ujanja ujanja kama simba??ulishindwa kufunga goli moja tu nyumbani ukaishia kugusa na kuachia na kurudi matopeni kwenu chura?ndg ata wapeleke mechi uwanja wa mwanankanda simba ndo bingwa wa shirikisho msimu huu,hii imeendaaa.
 
Hata na Stellenbosch kuna makosa mengi yaliifaidisha Simba ikiwa ni pamoja na goli la offside liliwavusha, huku reverse fixture Stellenbosch alinyinywa goli la halali kabisa.
Hio ni kwa mujibu wa var ya kijijin kwenu huko.tuko fainali na kesho kinapigwa.si utatazama huku unabinya pumbu kutubania?simba,simba ....eee kidedea
 
Nilipokua nasikia mashabiki wa Yanga ni hamnazo nikawa naona kama ni ushabiki TU wa Simba na Yanga,lakini kwa maandiko ya huyu mtoa mada nimejiridhisha kabisa kweli kua mashabiki wa hii timu ya nyuma mwiko wengi ni hamnazo kweli.
Sijasoma hata mada yake nimesoma TU kichwa Cha habari.
 
Back
Top Bottom