Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

Ati ujanja ujanja?we na hio timu yako hamuna ujanja ujanja kama simba??ulishindwa kufunga goli moja tu nyumbani ukaishia kugusa na kuachia na kurudi matopeni kwenu chura?ndg ata wapeleke mechi uwanja wa mwanankanda simba ndo bingwa wa shirikisho msimu huu,hii imeendaaa.
 
Hata na Stellenbosch kuna makosa mengi yaliifaidisha Simba ikiwa ni pamoja na goli la offside liliwavusha, huku reverse fixture Stellenbosch alinyinywa goli la halali kabisa.
Hio ni kwa mujibu wa var ya kijijin kwenu huko.tuko fainali na kesho kinapigwa.si utatazama huku unabinya pumbu kutubania?simba,simba ....eee kidedea
 
Nilipokua nasikia mashabiki wa Yanga ni hamnazo nikawa naona kama ni ushabiki TU wa Simba na Yanga,lakini kwa maandiko ya huyu mtoa mada nimejiridhisha kabisa kweli kua mashabiki wa hii timu ya nyuma mwiko wengi ni hamnazo kweli.
Sijasoma hata mada yake nimesoma TU kichwa Cha habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…