Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Matatizo ya afya ya akili bado ni changamoto nchini.Mleta ujinga(uzi) hana akili.Anataka aukalie moto?😂😂😂😂😂
Huyu mtu kakaa kafikiri kuhusu kuwa mtupu, moto, na kuukalia ndo akaunganisha hiyo sentensi, mengine yote ni uhalalishaji tu ila ni jambo alilotayari kulifanya.Mashabiki wa yanga bana..sass kwa nn ukalie Moto ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ohooo unataka ukalie moto?Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
[emoji2][emoji2]Sijasema hivyo bosi. Mm nimeongelea utayari wake wa kukalia kitu chenye moto akiwa mtupu.
Wanaume wa Yanga ni kama yule golikipa wenu..yaani mnapenda hayo mambo..eti kukaa uchi....unawakaliaje wanaume uchiAdmins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Kwanza ujiulize mara ya mwisho kumfunga Simba kwenye ligi ilikuwa lini?Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
Jamaa inaonekana una hasira sana. yaani hata kabla Yanga hawajarudi kutoka kwa Waarabu weusi, tayari povuuu!Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.