Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
... Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi.
Umeongea kama mwanamichezo. Hukutumia lugha za matusi. Hongera. Yanga hata ingepanga kikosi cha pili. Inajua udhaifu wa Simba nini. Niamini... Simba haiwezi mfunga yanga ikijitahidi ni draw.Kwanza ujiulize mara ya mwisho kumfunga Simba kwenye ligi ilikuwa lini?
Pili ukumbuke kikosi kitakachocheza siyo kile cha ngao ya jamii cha Zoran.
Manula, Zimbwe, Israh, Hinonga, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Chama, Phiri, Okra na Sakho. Kina Banda, Gadiel, Kenedy wataingia kipindi cha pili.
Tatu, unapaswa kujua kuwa Simba wana uwezo wa kuwafunga goli la mapema na kuongeza zaidi wakati mkitafutana.
Nne kwa sasa hakuna hadaki Kakolanya, Outara hataanza, Kibu hatacheza na mna bahati Kapombe ni majeruhi.
Tano kikosi chenu kinaongozwa na kipa aliyefungwa magoli sawa na mechi alizocheza msimu huu, mnaye Mwamyeto atakayemkaba Chama kwa macho, Mnaye Morrison asiyesaidia timu kukaba, Mnaye Aucho mwenye kilo 800, mnaye Kibwana anayesubiri tu huruma za Okrah, Mnaye Aziz ambaye anakuwa busy kuvuta pumzi kwa mdomo kuliko kucheza mpira. Mnaye Biringanya ambaye nina hakika hawezi kucheza hiyo siku. Mnaye Lomalisa ambaye anaweza kumpa Phiri assist na mnaye Kisinda anayekimbia kama ngiri bila malengo.
Mkuu na kwenye kukalia moto utakuwa nae pia?Nakuunga mkono. SIMBA HAWAWEZI MFUNGA YANGA.
Hamna haja ya matusi. Kinachotakiwa ni kuangalia uhalisia badala ya kuangalia tunachopenda. Kwa sasa tumeona Okra akiwa kwenye ubora wa hali ya juu na ile mipira mirefu italazimisha Djuma asipande kabisa huku Kisinda au Moloko wakilazimika kurudi kumsaidia Djuma. Katikati wakicheza viungo katili wawili Putin na Mzamiru ni dhahiri kuwa watakata mawasiliano na kulazimisha Yanga wacheze pasi ndefu kama Simba ambayo tunajua hawana uzoefu huo. Upande wa Kibwana itakuwa ana changamoto ya kumdhibiti Sakho huku Chama akiwa anapitia upande huo pia.Umeongea kama mwanamichezo. Hukutumia lugha za matusi. Hongera. Yanga hata ingepanga kikosi cha pili. Inajua udhaifu wa Simba nini. Niamini... Simba haiwezi mfunga yanga ikijitahidi ni draw.
Hawa ndio wanamwambiaga Mayele awatie mimba.Mashabiki wa yanga bana..sass kwa nn ukalie Moto ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Anataka Moto wa mashineNdo mnavyotafutaga Ivo mkijiskia,mtoto wa kiume unasemaje utakalia Moto na makalio .Kuna kitu unahitaji wewe.
Jumapili utaletewa moto mpaka hicho kimuhemuhe chako kikushuke,unatangaza kabisa kuwa unataka kuwekwa.Umeongea kama mwanamichezo. Hukutumia lugha za matusi. Hongera. Yanga hata ingepanga kikosi cha pili. Inajua udhaifu wa Simba nini. Niamini... Simba haiwezi mfunga yanga ikijitahidi ni draw.
Yote mapunga hayoMkuu na kwenye kukalia moto utakuwa nae pia?
Anawashwa huyo anatafuta mkunajiNikweli Simba hawakumbuki walitufunga lini kwenye ligi,kwetu hawa mikia ni dhaifu sana.
NB: Ahadi za kijinga jinga kama hiyo yako uliyoitoa ni aibu maana mpira lolote linaweza kutokea,toa hoja na facts za why timu yako itashinda,achana na huo upuuzi wa ahadi zisizo na kichwa wa miguu
Nikijua tu, ni lazima uunge mkono swala la kukalia moto mkiwa uchi.Nakuunga mkono. SIMBA HAWAWEZI MFUNGA YANGA.
Na mganga mkuu wa hospitali ya Milembe amesema wammezidiwa na idadi ya wagonjwa wa akili. Sasa sijui mleta uzi atapelekwa hospitali gani?[emoji16]Matatizo ya afya ya akili bado ni changamoto nchini.
Kule hakuna wanayejuana nayeYanga kwa masuala ya nyumbani hajambo.
Tatizo akivuka tu mpaka.