Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
mkuu kweli utakalia moto au unatania tuAdmins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.
Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.