CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Hakucheza ile game vs YANGA??Amesaidia timu kuwa kinara wa ligi kuu ikiwa na idadi kubwa zaidi ya magoli kuliko timu yoyote Tanzania.
Amesaidia timu kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Klabu Bingwa ikiwa ni chini ya miezi 3 toka asajiliwe.
Vp aliisaidia timu yake ISICHAPWE NAO??