Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima.

Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga. HAIWEZEKANI. NI RAHISI NGAMIA KUPITA KWENYE TUNDU LA SINDANO KULIKO SIMBA KUMFUNGA YANGA TAREHE 23.
mkuu kweli utakalia moto au unatania tu
 
Ukumbuke Simba wanashikilia rekodi ya uchawi barani Afrika na kupigwa faini na CAF ya Dola 20,000/=
Nyinyi pia si huwa mnapigwa faini za kupita milango isiyosahihi? Sema hamuwezi kupewa faini ya Dola 20,000/= hamna hizo hela mtaandamana.

Mungu wenu Manara mlishindwa kumsaidia Tsh 20M, itakuja kuwa Dollars?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kwa waarabu ulikalia ya ngamia na ikapenya bila kikwazo, eti leo unatuhadaa kwa kukalia moto ili hali choo kishazibuliwa hicho?
 
Umeongea kama mwanamichezo. Hukutumia lugha za matusi. Hongera. Yanga hata ingepanga kikosi cha pili. Inajua udhaifu wa Simba nini. Niamini... Simba haiwezi mfunga yanga ikijitahidi ni draw.
Natamani ifike haraka hiyo 23 wachomekwe mpini baada ya Hilal kuchomoa mwiko nyuma. Wanaongea sana utadhani wamesajili timu la kwenda kucheza Uefacl
 
Haitawezekana kwa Ndumba ila kwa mpira uwanjani jiandae kuungua matakwoooo
 
Wajuba wa Simba jiandaeni kumvua nguo kabisa mimi nitakoka moto
 
Ila Yanga mnachekesha jamani kweli kikwete aliongea kweli kuwa mnashinda kwa njia ambazo haziwezi kuwapeleka mbali na ndicho mnachojiaminia hicho hasa mkicheza na Simba. Simba kwenu ni threat like bomb
 
Hamna haja ya matusi. Kinachotakiwa ni kuangalia uhalisia badala ya kuangalia tunachopenda. Kwa sasa tumeona Okra akiwa kwenye ubora wa hali ya juu na ile mipira mirefu italazimisha Djuma asipande kabisa huku Kisinda au Moloko wakilazimika kurudi kumsaidia Djuma. Katikati wakicheza viungo katili wawili Putin na Mzamiru ni dhahiri kuwa watakata mawasiliano na kulazimisha Yanga wacheze pasi ndefu kama Simba ambayo tunajua hawana uzoefu huo. Upande wa Kibwana itakuwa ana changamoto ya kumdhibiti Sakho huku Chama akiwa anapitia upande huo pia.
Mayele kama ilivyokuwa jana hataweza kupata ayempt hata moja kwa kuwa mipira itakuwa haimfikii au atalazimika kuja kuifuata katikati.
Bangala pale kati itakuwa hana kazi kabisa hivyo itabidi atoke mapema sana.
Game ya Jumapili sioni yanga wakipata hata sare.
Mpira hauko kama unavyania wewe, kwamba Okrah amsumbue Djuma?? Unadhani Yanga ni Prisons au Ruvu Shooting au KMC??
 
Mpira hauko kama unavyania wewe, kwamba Okrah amsumbue Djuma?? Unadhani Yanga ni Prisons au Ruvu Shooting au KMC??
Sasa wewe ndio unachukulia Yanga watacheza na Ruvu kila siku. Djuma hana uwezo wa kumdhibiti Okrah.... Tarehe 23 tutakumbushana
 
Ndio mkae kwa kutulia acheni porojo kama wauza karanga, kikosi bora kitajulikana siku iyo, yanga sio ihefu ya angola mliyocheza nayo, yanga inabaki kuwa yanga mkae mnalijua hilo, mjue mnakwenda kukutana na timu bora na msiende na matokeo yenu mfukoni kama ambavyo mnafanya mnapocheza na timu nyingine, hii sio bata bullets wala de agosto hii ni yanga brother unapoongea vitu uwe na akiba ya maneno usijitoe ufahamu kiivyo utajidhalilisha bure
Jifunze hata kuandika kwa vituo basi.
 
50% ya mashabiki wa yanga ni wanawake
40% ya mashabiki wa yanga ni mashoga
Hawa wanaume 10% sijui bado wanafanya nini huko
Matusi ya nini?? BABA YAKO NI SHOGA?? Namfahamu ni YANGA damu, tangu kijijini huko. Au unahisi wewe hatukujui??
 
Sasa wewe ndio unachukulia Yanga watacheza na Ruvu kila siku. Djuma hana uwezo wa kumdhibiti Okrah.... Tarehe 23 tutakumbushana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Amefanya nini cha maana so far??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Amefanya nini cha maana so far??
Amesaidia timu kuwa kinara wa ligi kuu ikiwa na idadi kubwa zaidi ya magoli kuliko timu yoyote Tanzania.
Amesaidia timu kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Klabu Bingwa ikiwa ni chini ya miezi 3 toka asajiliwe.
 
Katika hao members wawili mm naomba niwe na jukumu lakukupelekea huo moto utakapoukalia sheikh.
 
Back
Top Bottom