Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

Wanayanga wenzangu tuache wivu na hoja nyepesi. Messi alitokea Barca B. Kitasa chetu Ibra Bacca kilitokea Zanzibar. Mimi nasikitika timu yetu kujaza mizee na injury prones.
Ni kuwakumbusha tu mbumbumbu
 
1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.

2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast

3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8

4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6

5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania

6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR ⭐ ya Zambia Imeshika namba 13

Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.

Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.

Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Timu inaweza kuwa mbovu kwa msimu husika ila bado mchezaji mmoja mmoja akaonekana bora zaidi.

Hao uliowataja wapo ma MVP wawili kutoka ligi zao kwahiyo usibeze quality yao.
 
Hivi ushawahi kuona team ya EPL inasajili mchezaji wa Djibouti, Somalia, Tanzania, Moja Kwa Moja.
Yaani Arsenal aje Yanga amsajili Dickson Job
Mbona unajjchanganya sana Mkuu?
Ubora wa mchezaji upo pale pale haijalishi anatoka ligi gani. Huko Uingereza wana kanuni zao.
 
Dube ni MVP wa NBC pl?
Wakati mnamchukua Mayele huko Congo ,timu yake ilikuwa mabingwa wa League?

Cameroon wanajilaumu sana Kwa Mbappe
Uingereza Walianza kumtamani sana Jamal Musiala Mwezi huu?

JIfunzeni kukuza vipaji katika mazingira ya mpira
 
Ligi ikianza hatutaki lawama
 
1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.

2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast

3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8

4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6

5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania

6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR ⭐ ya Zambia Imeshika namba 13

Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.

Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.

Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Mkuu unachosema ni sawa kabisa.
Mimi ni Simba ila naona usajili huu wa kurundika madogo kikosini hautatufikisha popote labda baada ya miaka 3 hivi.
Timu ili iwe na ushindani hasa katika michuano ya CAF vipaji tu havitoshi. Lazima uwe na wachezaji wazoefu, matured ambao wanaweza kuamua mechi ngumu kwa maarifa na uzoefu waliokuwa nao, Mfano ni Chama, Saido, Ngoma, Aziz Ki, n.k.
Simba imejaza vijana ambao waishia kukimbia kimbia uwanjani na kufanya manjonjo yasiyo na maana na kucheza na majukwaa.
Angalia Azam, tangia miaka 3 iliyopita imekuwa ikisajili vijana wenye vipaji akina Silla, Msindo, Sopu, Kipre Jr, Mwaikenda, n.k. lakini hawajaweza kuwafikisha popote hadi msimu ulioisha ndio angalau wameshika nafasi ya 2 FA na NBC league!! Hii ni baada ya kuanza kukomaa.
Mfano mwingine angalia Yanga, miaka 4 iliyopita ilivyoamua kurudi upya haikurundika vijana wadogo ila ilisajiri wazoefu watu wa kazi akina Shaban Juma, Bangala, Aucho, Moloko, Mayele, n.k na ndio wakaivusha Yanga hadi leo hii.

Conclusion: Simba inafanya makosa kusajiri vijana tu. Wanapaswa kuwa na wazoefu wazuri walau 6 au 7 hivi ili kuongoza hao madogo. Ndio maana ilikuwa muhimu sana kumbakisha Chama asaidie kutuliza timu uwanjani na kuongeza maarifa na uzoefu tutakapocheza na timu kubwa Afrika.
 
Una akili sana mkuu
 
Wazee 6 au 7 wanapatikana Yanga mkuu, kachukue kadi, huku Simba ni kipindi cha mabadiliko, kipindi cha kusuka kizazi kipya, tupo tayari kwa kipindi cha mpito huku tukiombea chemistry baina ya wachezaji ipatikane mapema.
 
Back
Top Bottom