Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

Sawa mbumbumbu Jobe ndo star ⭐ wenu.
NB: ligi ikianza hatutaki vilio
Vilio ni sehemu ya mchezo. Hata vyura kuna nyakati mlilia mkiwa na mabakuli.
 
Umemsahau eli mpanzu, lameck lawi na abdulrazack hamza
 
Mbumbumbu hebu chagua bango la goli 10 tuweke wapi
tunakutazama tu unavyoruka ruka.
images (95).jpeg
 
1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.

2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast

3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8

4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6

5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania

6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR ⭐ ya Zambia Imeshika namba 13

Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.

Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.

Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Hivi kwanini utopolo mna akili kama za kuku? Mwaka jana mlipokuwa mkitaka kimsajli Tanga Chivaviro haujui kama timu yake imeshuka daraja?
 
Mbumbumbu jiongeze
Chivaviro team yake ilicheza semi final ya CAFCL na akawa makamu Top scorer
Marumo ni team ya South Africa Moja ya league Bora Africa sio wachezaji wenu mnakota Rwanda
 
1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.

2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast

3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8

4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6

5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania

6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR ⭐ ya Zambia Imeshika namba 13

Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.

Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.

Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Kwaiyo wameona sisi tunafaidi tulivyomsajili Joyce lomalisa na wao wameenda kumsajili Debora 😂😂😂
 
1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.

2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast

3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8

4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6

5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania

6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR ⭐ ya Zambia Imeshika namba 13

Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.

Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.

Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Nadhani unahitaji elimu ya zoezi la usajili wa wachezaji wa soka, maana kuna kitu huelewi. Simba haisajili hizo timu ila inasajili wachezaji wa hizo timu.

Nikukumbushe, msimu uliopita Yanga ilimsajili mchezaji wa timu iliyoshuka daraja na wala haikuwa tatizo. Kwa kuwa usajili unaangalia uwezo binafsi wa mchezaji.

Ova
 
Jibu hoja acha vioja.
Mleta mada ana hoja, nami nimemwelewa vyema.
Je, unapinga ukweli wa mleta mada? Ksma una ukweli tofauti na huo leta hapa.
Hoja gani kaandika huyo? Simba inasajili wachezaji bora kwenye timu walizotoka nyie mnasema inarundika wachezaji? mnajua hata maana ya kurundika kwanza?!

Nouma- beki bora wa ligi ya Burkina Faso.

Ahoua- MVP wa ligi kuu Ivory Coast.

Mnaimba ngonjera msizozielewa, au hamtaki Simba isajili kuziba mapengo yaliyoachwa na walioondoka na wanaoanza kuchoka?!

Hamjielewi.
 
Mo hawezi kutoa pesa ya maana kusajili wachezaji wenye Quality.
Ndo hao mmeletewa wa jero jero
Hizi ngonjera mmekariri miaka mingi, hata hamjui wachezaji wanaosajiliwa Simba awamu hii wanatoka wapi na viwango vyao, mnaimba tu mapambio msiyoyajua.
 
Back
Top Bottom