Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

Tabia ya Simba fans, currently.......
1.Saizi anapewa sifa MO kwa kusajili hadi wanaita machine
2.Ligi ikianza na matokeo yakiwa mabaya wataanza kumsema Matola anahujumu abaki na timu
3.Zigo la lawama atapewa Ngungo boy,mara ni Yanga,mara tukifungwa, Ngungo anashangilia chooni.

Please,chagueni mapema msimamo wenu πŸ˜€
 
Jibu hoja acha vioja.
Mleta mada ana hoja, nami nimemwelewa vyema.
Je, unapinga ukweli wa mleta mada? Ksma una ukweli tofauti na huo leta hapa.
Kuna watu w an Dini Fulani wakikusanywa pamoja ,Kwa kigezo Cha Dini ..wote Kwa halaiki Yao wanakuwa wajinga! Ndiyo ilivyo Kwa mashabiki wa Utopolo!
Nje ya Utopolo.,wewe ni mtu tofauti Kabisa! Ila ukiwa na wenzako unacheua haya!
 
Ushauri kuhusu Simba unapotolewa na Utopolo ni sawa na kinyesi tu
 
Jibu hoja acha vioja.
Mleta mada ana hoja, nami nimemwelewa vyema.
Je, unapinga ukweli wa mleta mada? Ksma una ukweli tofauti na huo leta hapa.
Hana hoja .

Kwakua timu inaweza isifanye vizuri ila mchezaji mmoja akawa na ubora wa kusajiliwa na timu nyingine yoyote ile.

Imekua ikifanyika hivyo miaka yote.

Hivyo hiyo sio hoja ya kimichezo.
 
kwa hali uliyonayo unahitaji maombi na nyimbo za pambio maana si kwa wivu unaouonyesha dhidi ya Simba au kiufupi hujui mpira na ushabiki hujui kiujumla
 
Samata alisajiliwa Simba akitoka African Lyon iliyoshuka daraja
 
Walilisema sana jina la Lomalisa..!! Haya, KAJA DEBORA..!! Hivi Debora anacheza namba ngapi?
 
Aagh wapii..!!! Eti Debora anacheza namba ngapi?
Baleke na Jobe wamesaini Yanga, hata kama hupendi ndo hivyo tena viongozi wako wameamua, ukihoji watakuita mla mihogo 😁😁😁
Debora anazungusha pale katikati

 
Pamoja na kwamba una point ila Simba inao hao wachezaji wazoefu wa kuituliza timu:
Ayoub
Zimbwe (captain ingawa siyo muongeaji)
Kapombe
Che Malone
Ngoma
Kibu
Kanoute (ila siyo muongeaji)

Hata wanaokuja hawajatokea vijiwe vya bodaboda, tayari ni mapro hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…