Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
ππππ Kweli sisi ni watani wa jadi, walikuwa wanacheka alipokuja Joyce Lomalisa na wao wamemleta DeborahHivi huyo Deborah ni wakiume pia au ni Shemale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Kweli sisi ni watani wa jadi, walikuwa wanacheka alipokuja Joyce Lomalisa na wao wamemleta DeborahHivi huyo Deborah ni wakiume pia au ni Shemale?
Wameona tulikua tukifaidi mnooππππ Kweli sisi ni watani wa jadi, walikuwa wanacheka alipokuja Joyce Lomalisa na wao wamemleta Deborah
Wametuletea Debo πWameona tulikua tukifaidi mnoo
Kuna watu w an Dini Fulani wakikusanywa pamoja ,Kwa kigezo Cha Dini ..wote Kwa halaiki Yao wanakuwa wajinga! Ndiyo ilivyo Kwa mashabiki wa Utopolo!Jibu hoja acha vioja.
Mleta mada ana hoja, nami nimemwelewa vyema.
Je, unapinga ukweli wa mleta mada? Ksma una ukweli tofauti na huo leta hapa.
AahaaaaNaunga mkono hojaView attachment 3035749
Hana hoja .Jibu hoja acha vioja.
Mleta mada ana hoja, nami nimemwelewa vyema.
Je, unapinga ukweli wa mleta mada? Ksma una ukweli tofauti na huo leta hapa.
kwa hali uliyonayo unahitaji maombi na nyimbo za pambio maana si kwa wivu unaouonyesha dhidi ya Simba au kiufupi hujui mpira na ushabiki hujui kiujumla1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.
2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast
3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8
4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6
5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania
6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR β ya Zambia Imeshika namba 13
Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.
Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.
Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
Samata alisajiliwa Simba akitoka African Lyon iliyoshuka daraja1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.
2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast
3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8
4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6
5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania
6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR β ya Zambia Imeshika namba 13
Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.
Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.
Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
ALijisemea Kaduguda, Tandika wamejaaWachezaji wa jero jero hawa
Walilisema sana jina la Lomalisa..!! Haya, KAJA DEBORA..!! Hivi Debora anacheza namba ngapi?1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana.
2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast
3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8
4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6
5. VALENTINO MASHAKA katika Geita Gold, umeshuka daraja Tanzania
6 . DEBORA FERNANDEZ . Ametoka MUTONDO STAR β ya Zambia Imeshika namba 13
Mbumbumbu Kwa Sasa mnashangilia hilo rundo la wachezaji wadogo.
League ikianza hatutaki lawama.
Hao wachezaji wenu ni sawa mmesajili kutoka Mashujaa, Dodoma jiji, au Namungo
Sisi Yanga tunamsajili Galactica tu yaani wachezaji wakubwa.
Hatutaki lawama kutoka Kwa mbumbumbu league ikianza
kama BalekeALijisemea Kaduguda, Tandika wamejaa
Aagh wapii..!!! Eti Debora anacheza namba ngapi?kama Baleke
Baleke na Jobe wamesaini Yanga, hata kama hupendi ndo hivyo tena viongozi wako wameamua, ukihoji watakuita mla mihogo πππAagh wapii..!!! Eti Debora anacheza namba ngapi?
Pamoja na kwamba una point ila Simba inao hao wachezaji wazoefu wa kuituliza timu:Mkuu unachosema ni sawa kabisa.
Mimi ni Simba ila naona usajili huu wa kurundika madogo kikosini hautatufikisha popote labda baada ya miaka 3 hivi.
Timu ili iwe na ushindani hasa katika michuano ya CAF vipaji tu havitoshi. Lazima uwe na wachezaji wazoefu, matured ambao wanaweza kuamua mechi ngumu kwa maarifa na uzoefu waliokuwa nao, Mfano ni Chama, Saido, Ngoma, Aziz Ki, n.k.
Simba imejaza vijana ambao waishia kukimbia kimbia uwanjani na kufanya manjonjo yasiyo na maana na kucheza na majukwaa.
Angalia Azam, tangia miaka 3 iliyopita imekuwa ikisajili vijana wenye vipaji akina Silla, Msindo, Sopu, Kipre Jr, Mwaikenda, n.k. lakini hawajaweza kuwafikisha popote hadi msimu ulioisha ndio angalau wameshika nafasi ya 2 FA na NBC league!! Hii ni baada ya kuanza kukomaa.
Mfano mwingine angalia Yanga, miaka 4 iliyopita ilivyoamua kurudi upya haikurundika vijana wadogo ila ilisajiri wazoefu watu wa kazi akina Shaban Juma, Bangala, Aucho, Moloko, Mayele, n.k na ndio wakaivusha Yanga hadi leo hii.
Conclusion: Simba inafanya makosa kusajiri vijana tu. Wanapaswa kuwa na wazoefu wazuri walau 6 au 7 hivi ili kuongoza hao madogo. Ndio maana ilikuwa muhimu sana kumbakisha Chama asaidie kutuliza timu uwanjani na kuongeza maarifa na uzoefu tutakapocheza na timu kubwa Afrika.