Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

Mkuu tatizo sio mechi za Yanga zilingane (33) bali ni uhalali wa Simba kukabidhiwa kombe kinyume cha sheria bila kukamilisha mechi zote 34 kama sheria inavyotaka. Mikeka nimesimama kwanza mkuu......naona vipigo vimezidi 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Umetumia muda mrefu kueleza impossible scenario. Yanga kuingiza timu tarehe 3 au kutoingiza timu hakufanyi Simba asitimize mechi 34. Mechi ikipangwa na mamlaka husika na na mojawapo ya timu isitokee, mbali na hatua nyinginezo, timu iliyofika inapewa ushindi wa alama za mezani kwa kufuata kanuni. Na inakuwa imejulikana kuwa 'mechi' hiyo imeamuliwa kwa kanuni
 
Kwenye ligi unaweza kutawazwa ubingwa kabla ya mechi hata kumi kama hakuna anayeweza kuzifikia.
 
Acha utabiri, ratiba ya julai 3 bado subiri kama matokeo yake yataamuliwa uwanjani au kikanuni
Nakukumbusha hata mechi zinazoamuliwa kikanuni zinajazwa kwenye mkeka wa ligi

Mwisho kabisa;Simba wanahitaji point 4 tu akabidhiwe kombe
 
Kama kombe ni uhakika kwa simba hata akipoteza mchezo wa Yanga, basi washaulini TFF wampe ushindi Yanga ili kelele ziishe
 
Kanuni hizi mbona hazikutumika kuwapa Simba ushindi baada ya Yanga kuingia mitini????
 
Yanga walipeleka timu uwanjani
 
Kanuni hizi mbona hazikutumika kuwapa Simba ushindi baada ya Yanga kuingia mitini????

Hazikutumika kwa kuwa Yanga walikuwa na 'kichaka' kizuri cha kujifichia.....ambapo kulikuwa na mkanganyiko wa muda wa mechi uliosababishwa na mamlaka husika. Kama unakumbuka timu zote ziliingia uwanjani ila muda tofauti. Tarehe 3 Julai habari itakuwa tofauti.
 
Simba akiwa hajafikisha hiyo 33 je na Yanga atakua nae hajafikisha? Ndo hiyo pending ya mechi 1 itabaki hivyo hivyo milele?

Itaamuliwa tu namna ingine.
 
Usomeni huu uzi kama wachambuzi na sio Mashabiki ama wapenzi wa timu na Taasisi tajwa.

Iwe Yanga wataingiza Timu uwanjani ama lah hiyo tar3, iwe wameshamalizana na wamekubaliana kulimaliza kwa kuurudia mchezo au vinginevyo... bado hili suala si lakulichukulia juu juu kama tuzoeavyo.

Jaribu kuyachambua haya.
Kwanini Simba haikupewa ushindi wa mechi ile na ilifika uwanjani muda wa mchezo, yanga hawakuonekana?

Kwanini Yanga haijapewa Adhabu kwa kutokuingiza timu uwanjani au kutoa timu uwanjani kabla ya mchezo kuanza?

Ni mikakati gani ya mchezo ujao iliyowekwa kufidia gharama za mechi kwa ujumla kuanzia mashabiki mpaka taasisi na makampuni. Na ni nani atapaswa kuzilipa yakitokea madai?

Achana na Yanga Ama Simba, akitokea hata mtaka sifa mmoja na mwenye uelewa mzuri wa masuala ya mpira wa miguu na sheria zake, hili suala linaweza kufikia aliwazalo mleta mada.



BADO TUNASAFARI NDEFU SANA KATIKA KUELEWANA
 
Bodi ya Ligi walitangaza Mechi imefutwa na Itapangiwa tarehe Nyingine..

Nani angepewa hizo point za mchezo Uliosemekana Umefutwa..??
 
Kikubwa bi Pre March meeting ilifanyika asubuhi na kila timu ikawasilisha list ya wachezaji, na waamuzi wakatambushwa, kawaida ikifanyika pre March basi mchezo upo
Pre match meeting ilifanyika asubuhi. [emoji23][emoji23][emoji23] bangi bana.
 
Unaona ulivyo bwabwa ,embu soma tena ulichocomment alaf jipige kichwan sema mm ni shoga a.k.a bwabwa niliyejaza kinyesi kichwan badala ya ubongo
Poa tu mbona babako shoga tangu akiwa na miaka 16 na bado akamfukiza mamako ambae ni kahaba na ukazaliwa shoga mwingine kwenye familia!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawaambia Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo hapa nchini watu hawataki! na niliwahi sema ili kudhihirisha hilo Mwakalebela ataachiwa muda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…