Simba hawezi pata matokeo mbele ya Asec Mimosa wiki hii

Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.

Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS

Nawauliza viongozi wa club, hizi danadana mtatupiga hadi lini?
Nilijua utaelezea technical and tactical kwa nn simba atapoteza huo mchezo kumbe ni ushabiki tu labda tu nikuambie simba hta iwe mbovu vipi haiwezi kufungwa na asec hta kule ulaya Chelsea alichukua UEFA champions league akiwa na migogoro baada ya kumfukuza kocha mkuu ila walimaliza out of top 4 kwenye msimamo hata Madrid mbovu ilichukua UEFA champions league.
 
Yangu ilipitia magumu zaidi ya haya ya simba, sisi hata hela ya usajili ilikuwa mbinde sana, simba mmesajili kwa B3 acheni kulilia, Shida ya simba ni kujilinganisha na Yanga hilo ndilo jinamizi linalowatesa
 
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.

Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS

Nawauliza viongozi wa club, hizi danadana mtatupiga hadi lini?
Ipate matokeo isipate inakuongezea au inakupunguzia mboga ya ugali wako wa kila siku?
 
Nilijua utaelezea technical and tactical kwa nn simba atapoteza huo mchezo kumbe ni ushabiki tu labda tu nikuambie simba hta iwe mbovu vipi haiwezi kufungwa na asec hta kule ulaya Chelsea alichukua UEFA champions league akiwa na migogoro baada ya kumfukuza kocha mkuu ila walimaliza out of top 4 kwenye msimamo hata Madrid mbovu ilichukua UEFA champions league.
Sasa mbona na wewe pamoja na kumkosoa lakini umeshindwa kuelezea kimbinu na kiufundi kwanini Simba hawezi fungwa na Asec. Wewe na yeye hamna tofauti
 
Kwani kocha Mgunda na yeye hayupo simba? Hii timu takataka kabisa yani hadi Mgunda mmemuonea wivu kama mlivyoona wivu Manara anakubalika pimbi nyie
 
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.

Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS

Nawauliza viongozi wa club, hizi danadana mtatupiga hadi lini?
Wewe ni miongoni mwa wajinga wengi nchi hii, mkiongozwa na wachambuzi wengi wa mpira wa miguu.

Kwa akili zenu ni 'wajinga' hamuelewa hata kufungwa ni miongoni mwa matokeo ya mpira wa miguu?
 
Kwani kocha Mgunda na yeye hayupo simba? Hii timu takataka kabisa yani hadi Mgunda mmemuonea wivu kama mlivyoona wivu Manara anakubalika pimbi nyie
Huyo jamaa muongo tu Mgunda yupo na Simba kila siku mazoezini Humu watu wanapenda kuandika uongo mwingi Sana kuliko uhalisia.
 
Msimu huu tuachane nao. Simba wana misimu miwili mbele ya kujipanga kuanzia uongozi ,benchi la ufundi na wachezaji wakati huo Yanga wanapokea mateso na manyanyaso yanayowakumba Simba kwa sasa.

Yanga akiinuka Simba anachechemea, akiinuka Simba Yanga anadidimia.

Hali hii itaendekea hadi siku mpira wa Simba na Yanga utakapoondoshwa na kukaa mbali na siasa na wanasiasa
 
Kwani kocha Mgunda na yeye hayupo simba? Hii timu takataka kabisa yani hadi Mgunda mmemuonea wivu kama mlivyoona wivu Manara anakubalika pimbi nyie
Simba na Yanga timu Zina aleji na makocha wazawa , wanaamini makocha wazungu tu ndio wanaweza fanikisha timu kupata matokeo mazuri ........ empty set kbs.

Imajini timu Zina miaka lukuki hawana viwanja vyao!!?
 
Wawekee picha au video akiwa huko mkuu
Sina picha Ila kwa macho yangu nimemuona Mgunda na Mgosi wakipanga koni Kule bunju timu ya wanawake wakifanya mazoezi sijui uongo huwa unasaidia nini mtu akiongopa hasa huu uongo ambao haupati faida yoyote Ile
 
Nilijua utaelezea technical and tactical kwa nn simba atapoteza huo mchezo kumbe ni ushabiki tu labda tu nikuambie simba hta iwe mbovu vipi haiwezi kufungwa na asec hta kule ulaya Chelsea alichukua UEFA champions league akiwa na migogoro baada ya kumfukuza kocha mkuu ila walimaliza out of top 4 kwenye msimamo hata Madrid mbovu ilichukua UEFA champions league.
Kwa akili ya kawaida Simba unailinganisha na Chelsea na Madrid? kweli kazi ipo
 
Unakurupuka the main point ni simba na asec hizo nyingine ni point of reference kwani marumo gallant iko wapi sasa hivi na mwaka jana alichecheza caf confederation cup na kufika mbali mpaka siku ujue kutofautisha kati ya title race competition and trophy and how they have different plans in title race you need performance in trophy and competition you need objective and technical strategy sio lazima unielewe maana unaleta ushabiki maandazi.
 
Wewe ni miongoni mwa wajinga wengi nchi hii, mkiongozwa na wachambuzi wengi wa mpira wa miguu.

Kwa akili zenu ni 'wajinga' hamuelewa hata kufungwa ni miongoni mwa matokeo ya mpira wa miguu?
ahsante mkuu wa wajinga, tusilaumiane after mechi
 
Back
Top Bottom