Simba hawezi pata matokeo mbele ya Asec Mimosa wiki hii

Simba hawezi pata matokeo mbele ya Asec Mimosa wiki hii

Msimu huu tuachane nao. Simba wana misimu miwili mbele ya kujipanga kuanzia uongozi ,benchi la ufundi na wachezaji wakati huo Yanga wanapokea mateso na manyanyaso yanayowakumba Simba kwa sasa.

Yanga akiinuka Simba anachechemea, akiinuka Simba Yanga anadidimia.

Hali hii itaendekea hadi siku mpira wa Simba na Yanga utakapoondoshwa na kukaa mbali na siasa na wanasiasa
ukosahihi chief
 
Sasa mbona na wewe pamoja na kumkosoa lakini umeshindwa kuelezea kimbinu na kiufundi kwanini Simba hawezi fungwa na Asec. Wewe na yeye hamna tofauti
Nimemtolea mfano kwanza kwasababu akitaka technical nitaelezea ila kwasababu yeye ameleta siasa na mimi nimeelezea kisiasi kwasababu yeye ndio muanzilishi wa thread hvyo nimempa ushauri tu basi.
 
Sina picha Ila kwa macho yangu nimemuona Mgunda na Mgosi wakipanga koni Kule bunju timu ya wanawake wakifanya mazoezi sijui uongo huwa unasaidia nini mtu akiongopa hasa huu uongo ambao haupati faida yoyote Ile
umemuona lini mgunda ?
 
Back
Top Bottom