Msimu huu tuachane nao. Simba wana misimu miwili mbele ya kujipanga kuanzia uongozi ,benchi la ufundi na wachezaji wakati huo Yanga wanapokea mateso na manyanyaso yanayowakumba Simba kwa sasa.
Yanga akiinuka Simba anachechemea, akiinuka Simba Yanga anadidimia.
Hali hii itaendekea hadi siku mpira wa Simba na Yanga utakapoondoshwa na kukaa mbali na siasa na wanasiasa