ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko
Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake
Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka
Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko juu ya mamlaka ya sehemu husika
Kuna viongozi wa Simba walihukumiwa kifungo cha maisha Kwa kujihisisha na madawa ya kulevya,
Sasa mkuu wa Mkoa kama alipata taarifa za kuwepo uharifu huu, mlitaka police wasifike kukagua
Kwani mazoezi Yana Siri Gani, hadi uzuie mamlaka zisifike, mazoezi ya mpira ni faragha kama ngono, si mfanyie hayo mazoezi chumbani.
Mkuu wa mkoa msimdharau kisa eti ni Simba, yeye Yuko huru kuja hadi hapo hotelini au popote mlipo kufanya ukaguzi na kujihakikishia amani katika mkoa wake ipo ya kutosha
Yaani mpeleke nganda, ushirikina na fujo Mwanza halafu msiguswe, hiyo haiwezekani
Mheshimiwa Mtandana piga kazi