Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

Kwani JD ya mkuu wa mkoa inasema timu au kikundi cha michezo kikiingia mkoani kwake ni lazima akitembelee au akutane nacho? Acheni kuingiza siasa kwenye mpira nyie vyura wa matopeni
Sio laZima vile vile sio marufuku
 
Fifa kasikia upuzi kama huu wanazifungilia mbali nchi kujihusisha na mipira

Ova
 
Tunashabikia ujinga kisa kafanyiwa Simba. Sawa , ila madhara ya kuingiza Siasa kwenye mpira ni ujinga Sana.
 
Back
Top Bottom