INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Nikijua naongea na mtu kumbe naongea na kibalehe kinachoendeshwa na mihemko ya mabadiliko ya mwiliWewe utamzuiaje baba kuingia Moja ya chumba kwenye nyumba yyanilijua naongea
Unajua maana ya taasisi binafsi yaani serikali Haina mkono katika mpira na Wala haitakiwi kutia mkono wake
Na ndio maana hata hyo taifa stars so unasikia Ina kesi ya kuingiza mchezaji kavaa jezi tofauti mashtaka yanapelekwa caf na sio kwa huyo mkuu wako wa mkoa
Mpira una Sheria zake na hta ruzuku ya kuiendesha tff inatoka caf usiongee Kama upo chooni unatoa haja kubwa