Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

Kuwa mkuu wa mkoa hakumaanishi ndio utumie mamlaka vibaya, akikosea atasemwa tu
 
Kwa sababu Kuna watu wanaohusika na Mambo ya michezo


Mkuu usikaze fuzu kwenye ujinga Kama huna mada acha na mie nikae nihudumie jamii
Mkuu wa mkoa anahusika na vyote
Lilikuwa baya Gani kufika uwanja na kutimiza majukumu yake
Sasa mkuu wa mkoa kaka ukamzuia Kwa mabavu yaani ulitegemea arudi kisa anamwoga Matola wakati amepewa mamlaka na jeshi laZima atumie nguvu
 
Hakuna anayebisha
Simba wanamfukuzaje mkuu wa mkoa aliyefika uwanjani Kirumba
Sasa mkuu wa mkoa atakuwa na meno Gani kama anafika mahala anafukizwa eti kwakuwa Kuna watu Fulani
Pale alikuja mlezi wa pamba na si mkuu wa mkoa
 
Kwani JD ya mkuu wa mkoa inasema timu au kikundi cha michezo kikiingia mkoani kwake ni lazima akitembelee au akutane nacho? Acheni kuingiza siasa kwenye mpira nyie vyura wa matopeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…