Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.

Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.

Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo Simba itapoteza derby ya tarehe 08/03/2025.

Tukutane kwa Mkapa.
 
Mafanikio hayaji kwa bahati au kaulimbiu ya ubaya ubwela wala kuwataka mods wakupige ban.

Yanga wamewekeza kwenye usajili mzuri, wataalamu wazuri, vifaa vya kisasa vya kufundishia, mishahara na bonus, Ushindani mkubwa baina ya wachezaji na bado tunahangaika kukipata kombe la Afrika.

Mafanikio ni mchakato, Yanga kutwaa taji si bahati pekeyake ni mchakato wa jasho na damu.

Simba ijipange na kuwekeza si kununua marefa au ulozi, Haita wasaidia na mtaendelea kufungwa na Yanga mpaka mtakapo jitambua.
 
KUPATA VICHEKESHO KAMA HIVI

ANDIKA "UTOTOO " KWENDA NO 15777

ANDIKA
 
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.

Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.

Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo Simba itapoteza derby ya tarehe 08/03/2025.

Tukutane kwa Mkapa.
Utavua chupi watu waje kuangalia na wewe kwenye bar uone shuruba yakeee
 
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.

Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.

Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo Simba itapoteza derby ya tarehe 08/03/2025.

Tukutane kwa Mkapa.
Huu ni upumbavu kama upumbavu mwingine.
Yanga ameanza kushinda hii derby mechi nne kabla hajaifikia.Hawa jamaa walikuwa na mipango tangu ligi inaanza.
Sasa hivi uwanja wa Ally Hassan Mwinyi umefungiwa kisa yanga amekaribia kwenda kucheza Tabora

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yanga na Tabora wanacheza tarehe 1/4 kwaiyo uwanja utakuwa Bado ujafanyiwa marekebisho mpaka tarehe iyo na kufunguliwa?
 
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.

Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.

Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo Simba itapoteza derby ya tarehe 08/03/2025.

Tukutane kwa Mkapa.
Ungezitaja pia na zile ID zako nyingine ili na zenyewe zishughulikiwe mara tu baada ya mechi kutamatika.
 
Mafanikio hayaji kwa bahati au kaulimbiu ya ubaya ubwela wala kuwataka mods wakupige ban.

Yanga wamewekeza kwenye usajili mzuri, wataalamu wazuri, vifaa vya kisasa vya kufundishia, mishahara na bonus, Ushindani mkubwa baina ya wachezaji na bado tunahangaika kukipata kombe la Afrika.

Mafanikio ni mchakato, Yanga kutwaa taji si bahati pekeyake ni mchakato wa jasho na damu.

Simba ijipange na kuwekeza si kununua marefa au ulozi, Haita wasaidia na mtaendelea kufungwa na Yanga mpaka mtakapo jitambua.

Leo Umeanndika Vitu vya Maana sana.

Sikutegemea, Kumbe kuna wakati hata saa Mbovu inasema Ukweli.
 
Weka ahadi kubwa
Ukipigwa ban sisi inatusaidia nini, wakati uta login na ID mpya na kuanza kuandika Pumba
Weka ahadi ya maana

Ungezitaja pia na zile ID zako nyingine ili na zenyewe zishughulikiwe mara tu baada ya mechi kutamatika.

Hahahaaa kumbe unaemjua msaniihuyu
Nawapa mamlaka zote Mods iwapo Simba itapoteza derby ya 08/03, wanipige ban ya mwaka mzima kwa ID hii na kama wataona nina ID nyingine yoyote ya zamani au mpya inayohusiana na mimi nayo waipige ban ya mwaka mzima.

Ubaya Ubwela.
 
Back
Top Bottom