Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unataka kuuza kalio humu?Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
Huwa unauza eeeeeh? Tsh ngapi?Mkuu unataka kuuza kalio humu?
Umetoa ahadi ya kupiga picha bila nguo, unaulizwa unauza kalio unashangaa tena?Huwa unauza eeeeeh? Tsh ngapi?
Yaan wewe uchi wako umeona unathamani sanaa?Kweli wewe ni mbumbumbu.Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
Iyo picha bila nguo hujaweka wazi itakua ya naniSimba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
InamaUmetoa ahadi ya kupiga picha bila nguo, unaulizwa unauza kalio unashangaa tena?
kesho sio mbali tutaona makalio hayo maana Simba inashindaInama
INASHINDA NJAA LABDA. SIMBA HAIWEZI SHINDA MATCH YA YANGA.kesho sio mbali tutaona makalio hayo maana Simba inashinda
Hujamalizia yenye mashabiki wasio na akiliYanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Ahadi yako iko pale pale uitimize, tuone makalio hayoINASHINDA NJAA LABDA. SIMBA HAIWEZI SHINDA MATCH YA YANGA.
Baada ya matokeo mnakimbia ndo shida.Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga.
Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
Hakuna wa kukimbia. Wewe ndo utakimbia kwa aibu kesho na kundi lako la wavuta bangi la SimbaBaada ya matokeo mnakimbia ndo shida.
Hakuna matokeo ya ajabu. SIMBA ATAKE ATAFUNGWA, ASITAKE ATAFUNGWA.Duh mimi ni yanga ila mpira una matokeo ya ajabu so utaweka mbupu zako mtandaoni?
SIMBA ATAKE ATAFUNGWA, ASITAKE ATAFUNGWA.Akiba ya maneno