Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

Iyo droo itokee wapi mkuu.. Simba ni katimu fulani kadogooo kanakojitapaaa... Ponapona Yao Leo ni kugegedwa goli 3-0

Wakikaa vibaya watapigwa hamsa km walizopigwa na Aly ahl
Hamsa waliwahi kupigwa Yanga na hao hao Simba. Tangu hapo haijawahi kuvunjwa hiyo rekodi
 
Kwani mazoezi ya Simba umeyaona?
We tulia mpakatwe...
765340418f0e284a15f9471f08a18884.jpg
 
Ila mwaka wa jana waliacha point zote 3 pale! Mwaka huu sijui wamejipanga vipi na yule Guardiola wao mnene.
Hata Yanga pale Majaliwa stadium waliacha points zote tatu kwa Namungo. Ashukuriwe Refa aliye wabeba
 
Kipigo Kiko pale pale... Tunawakeeraaa kabla ya mechi, wakati wa mechi na baada ya mechi... Sisi ndio mbeya city kiboko ya timu zote zinazovaa jezi nyekundu
Endelea kukera kwa maneno, sisi tutakukera uwanjani kwa vitendo
 
Kipigo Kiko pale pale... Tunawakeeraaa kabla ya mechi, wakati wa mechi na baada ya mechi... Sisi ndio mbeya city kiboko ya timu zote zinazovaa jezi nyekundu
Ni kweli, kipigo Kwa Mbeya City kipo pale pale
 
Mkuu unatumia ngada??? Mbona umeongea jambo la ajabu sana?? Yaani Timu imeondoka na alama Moja we unasema imeacha alama 3?? Kweli sembe sio zuri Kwa afya unaweza kuongea km kichaa
Naona umelewa mihogo. Kunywa maji kwanza halafu soma tena vizuri kwa kutulia post yangu
 
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.

Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
Kachambe kwanza basi, una kinyesi kwenye kyupi kyako
 
Wewe sema bando lako la ofa ulilopewa baada ya kuitekeleza laini yako kwa muda limeisha na hela ya kununulia hauna kwa hiyo utapotea jukwaani na siyo kuwatwisha mzigo mbeya city na mods
 
Back
Top Bottom