Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nani wa kukufukuza? We Anza kujiondoa mwenyewe.Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.